Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Bidhaa zako ni mpya au used?
Mpya mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bidhaa zako ni mpya au used?
Hofu yako tu.
Tumefanya nae biashara na mizigo tumeipokea bila kufahamiana hata sura.
Shukran sana mkuu, bei zako ni affordable!Mpya mkuu
Ndo maana umesema hofu 'yangu' nawe unaujasiri wako.Hofu yako tu.
Tumefanya nae biashara na mizigo tumeipokea bila kufahamiana hata sura.
Shukran sana mkuu, bei zako ni affordable!
Kati ya TCL, Sharp, Evvol, Starx na boss ipi bora kwa kuzingatia rangi ya picha na uimara? For smart TV
vzr sana coz ndo maliza shuleuzi mzuri sana huu ila isiwe tv tu ila iwe inajuamuisha home electronic appliances zote.
ushauri tu.
MmmmhNaona matangazo tu hela zangu laki saba na nusu nilizolipia TV kwako tangia mwezi wa saba umenidhulumu moja kwa moja nijue nimepoteza salim
Mr Salum hebu njoo pande hizi ujibu hizi tuhuma, otherwise inaharibu biashara yako.Sure mkuu huyu jamaa ashanitesa sana hela yangu tangia nwezi wa saba niliona tangazo humu ndani heti anauza TV akaniambia nimtumie hela atanitumia TV Mwanza ya kwanza aliituma vizuri nikamuulizia anayo engine nimtumie hela anitumie Mwanza mpaka leo kuanzia mwezi wa saba ameniogopesha sana kununua vitu kwenye mitandao hasa amekuwa mtu wa vitisho na akaniambia live SMS ninazo kuwa hela haninipi TV pia sipati niende popote, tatizo ni kuwa ofisi yake siifahamu na anapokaa pengine ningeenda ofisi za mitaa wanisaidie bwana salim hemed asinidhulumu hela zangu au niipate TV yangu
MkuuTcl ni bora
These guy doesn't know where my office is, an I don't know him, and I opened a case for these accusation,, it's a police case and may be he should report so we can sort out everything he is claiming for..huyo jamaa anatumiwa na mtu kunichafua huko instgram,zoom tanznia, na jf taarifa zake zipo pale polis mburahati na humu jf mods wanazo report zake by z way sources ya wao kunijua mimi sio Jamii forum huyo ni dalali pale kirumba anatumika tu jamaa..yupo mwenzie mmoja aliyekuwa anakwenda kutushia vijana wangu duka langu la magomeni nilishadil nae kisheria amekimbia swala lipo polis huyu aliyejificha mwanza amekuwa ..namtafuta sana huyo sirma na ajaanza leo[emoji116] na hio ni RB yake...Mr Salum hebu njoo pande hizi ujibu hizi tuhuma, otherwise inaharibu biashara yako.
[emoji2] [emoji2] [emoji3] kaka salu nani tena huyo anayekutibu na jua kali hili??Embu wasibitishie wana jamii ilo tangazo uliloliona mpaka ukaitaka hio tv? Screen shot ilo tangazo la hio tv then lilete hapa
Mkuu
Naomba aina ya home theater ulizonazo na bei zake mkuu
Exactly, kwa upande wangu these case is Closed...am used to dis kind of people who normally want to destroy someone's businessMzee sometimes biashara ni ushindani, mpinzani anapoona mambo magum anakua na njia nyingi za kutaka kukuangusha au kukuchafua so kama huyo jamaa lengo lake ni kuchafua biashara za watu ni bora sheria ikafata mkondo wake.. kwa sababu wengine humu c wauzaji wala cyo wateja wao kazi yao ni kukosoa tu..
Ungesema inapatikana wp mkuu