Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Zinazo mkuu
Zinasupport flash na SD card, pamoja na FM redio bila chenga

IMG-20201109-WA0017.jpg


Huu mzigo naweza kuupata huko Zenji mkuu...?
 
New stock
Hisense smart android 43"
Bei 650000 tu
0777650286/0718919725
IMG_20201215_113221_801.jpeg
 
Kitu kingene ndugu kukuhakikishia usalama kuna maeneo unaweza kuagiza ukalipa baada ya kupokea, kama Dar, Mbeya, Lindi na Mtwara, Dodoma na hata Singida
Nimefurahi kuona mkoa nilipo,umetajwa kwenye orodha ya kulipa baada ya kupokea mzigo.Ngoja nijichange ili niagize tv!
 
Star x smart 4k 43"
Tcl smart android 43" zote Iringa Leo kwa wadau tofauti
Asanteni wanairinga
Ulipo tupo
IMG-20201216-WA0061.jpeg
IMG_20201216_132933_278.jpeg
IMG_20201216_111811.jpeg
IMG_20201216_131204.jpeg
 
Samahan wakuu naomba kufaham tv zenye build in decoder znafanya vp kaz?
Naweza pata channels paspokuwa na king'amuzi?
 
Samahan wakuu naomba kufaham tv zenye build in decoder znafanya vp kaz?
Naweza pata channels paspokuwa na king'amuzi?
Yes, . Unachomeka ANTENNA tu,. Ila kama eneo ulipo zipo FREE TERRESTRIAL DIGITAL CHANNELS unapata tu.
 
MPYAAA NIPE HELA .. SAMSUNG SMART CRYSTAL UHD 4K CLASS , SERIES 7 TU7100 . Tsh1,000,000 Tu .. piga 0754849763 DARES SALAAM, TEMEKE.
20201219_175429.jpg
 
Back
Top Bottom