Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

hapana mkuu
Mkuu nahitaji Samsung tv 55 inches Smart Tv (Android au non-android), yenye ubora wa juu kabisa katika teknolojia ya picha. Bei zake zikoje hadi inanifikia mkoani Iringa? Pia nakushauri uanzishe group la WhatsApp kwa ajili ya wateja wako na wateja watarajiwa, itakusaidia sana pia watu kuzidi kufahamu huduma yako. Au kama tayari unalo group basi naomba link nijiunge.
Ahsante sana mkuu na big up kwa huduma nzuri, nimefuatilia nimeona wewe ni muaminifu sana na customer care yako ni 110% on point. Keep it up!
Abdulwahid
 
Nashkuru sana mkuu kwa ushauri wako, naahid ntaufanyia kazi, kuhusu unayotaka tunayo Samsung crystal smart 4k 55" mpaka Iringa mkuu ntakuletea kwa 1500000
20210524_124054.jpg
 
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenyewe uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu,wachapakazi,watiifu na wenye uzoefu.
Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.
Piga simu Na. 0717 26 33 77
 
Nataka nijilipue na TCL 65inch lile toleo jipya la Sasa sijui qled Sasa tunajua Tanzania bara hv vitu n ghali mno vp Bei nafuu Ni wap Kati ya Zanzibar na Nairobi?

Wajuzi swali kwenu majibu kwangu
Akikujibu nitag. Nataka nchi 65 nimeuliza bei huko juu sijaambiwa.
 
Back
Top Bottom