Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
ipo mkuuni-pm kama bado unayo hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo mkuuni-pm kama bado unayo hii
0777650286 TV zipo sio moja, karibuni-pm kama bado unayo hii
[emoji16][emoji16][emoji16]Ipo ila kioo kibovu, transfoma za kubadilisha na haina rangi yaan unaangalia black and white na pia haitoi sauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nijilipue na TCL 65inch lile toleo jipya la Sasa sijui qled Sasa tunajua Tanzania bara hv vitu n ghali mno vp Bei nafuu Ni wap Kati ya Zanzibar na Nairobi?
Wajuzi swali kwenu majibu kwangu
very true, lakini hatununui tv kuangalia local tv stations. Tunatazama DSTV, IPTV, Netflix wenye FHD/4kKuna kitu nimekutana nacho kutoka kwa kuuza TV kaniambia hizi technology za Sasa za tv Kama qled, 4k sisi huku bado Sana Mana ving'amuzi na tv station za Tanzania hakuna zenye uwezo wa kutoa quality ambayo itaweza kuendana na uwezo wa hzi smart za kisasa na kufanya kuzinunua kwa gharama ili Hali hatuwezi enjoy jinsi inavyotakiwa.
Eti hata full HD bado n mtiti kasema tupo bado HD tuu ambayo anaejitahidi n DStv akanipa mfano wa full HD n wimbo wa alikiba sijui jina unaitwaje Ila capacity ya wimbo ule ulikuwa 328mb Yan n video moja tuu.
Sasa ikanibidi nije hapa kwa wajuzi tupate moja mbili kuhusu hili
Niletee mbezi MwishoTCL Smart Tv 4 sale
Dar - Sinza.
350,000
0688899089.View attachment 1837670View attachment 1837668View attachment 1837669View attachment 1837671
Bei gan
Inch ngapi??TCL Smart Tv 4 sale
Dar - Sinza.
350,000
0688899089.View attachment 1837670View attachment 1837668View attachment 1837669View attachment 1837671
Nakupa laki 2Ile 2019 jamaa waliniambia niwape 1m na ile tv wanipe tv nyingine, sikumbuki specifications.. Nikaona bora nikae nayo naweza pata option nzuri.. Now naona bora nioffload!
Weka mzigo mezani nijipime
Niuzie iyo tv bila kiooNina star x kioo kibovu.
Tuwasiliane,serious buyerBruhm inch 32 for 330k
hii 32" au?TCL Smart Tv 4 sale
Dar - Sinza.
350,000
0688899089.View attachment 1837670View attachment 1837668View attachment 1837669View attachment 1837671
Kuna mtu nimekubaliana nae ataniuzia TCL 65inch 4k mpya kwa Ksh 42,000/= yupo Nairobi mwenye uelewa na OG TCL na famba tafadhali njoo unipe elimu
Kenyan shilling [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elfu 42 inch 65 kiongozi...?
Sawa n Tsh 910,000/=Elfu 42 inch 65 kiongozi...?