Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Bado ipo?
Mkuu kuna Bruhm nch 32

IMG-20210630-WA0021.jpg
 
Nataka nijilipue na TCL 65inch lile toleo jipya la Sasa sijui qled Sasa tunajua Tanzania bara hv vitu n ghali mno vp Bei nafuu Ni wap Kati ya Zanzibar na Nairobi?

Wajuzi swali kwenu majibu kwangu

Kuna kitu nimekutana nacho kutoka kwa kuuza TV kaniambia hizi technology za Sasa za tv Kama qled, 4k sisi huku bado Sana Mana ving'amuzi na tv station za Tanzania hakuna zenye uwezo wa kutoa quality ambayo itaweza kuendana na uwezo wa hzi smart za kisasa na kufanya kuzinunua kwa gharama ili Hali hatuwezi enjoy jinsi inavyotakiwa.

Eti hata full HD bado n mtiti kasema tupo bado HD tuu ambayo anaejitahidi n DStv akanipa mfano wa full HD n wimbo wa alikiba sijui jina unaitwaje Ila capacity ya wimbo ule ulikuwa 328mb Yan n video moja tuu.

Sasa ikanibidi nije hapa kwa wajuzi tupate moja mbili kuhusu hili
 
very true, lakini hatununui tv kuangalia local tv stations. Tunatazama DSTV, IPTV, Netflix wenye FHD/4k
 
Ile 2019 jamaa waliniambia niwape 1m na ile tv wanipe tv nyingine, sikumbuki specifications.. Nikaona bora nikae nayo naweza pata option nzuri.. Now naona bora nioffload!
Weka mzigo mezani nijipime
Nakupa laki 2
 
Kuna mtu nimekubaliana nae ataniuzia TCL 65inch 4k mpya kwa Ksh 42,000/= yupo Nairobi mwenye uelewa na OG TCL na famba tafadhali njoo unipe elimu
 
Hii ya QLED kaniambia 50,000 sawa na Tsh 1,085,000/= hapo sija negotiate Sasa sijui napigwa au naelekea kupigwa
 
Back
Top Bottom