Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Sijanunua kwake mie nilinunulia Nairobi hvyo kaa kwenye maandiko yangu kama unataka usaidizi
Nilitaka kujua kodi kutokea Zanzibar, sio Nairobi. Hukuwa na jibu halafu unanambia nikae kwenye maandiko yako nikitaka kusaidiwa, nikae kwenye maandiko yako we mtume ? Get the hell outta here pinhead dusche bag
 
Hizi TV kampuni za Star X, TCL, n.k kuna sehemu hapa Dsm wanauza used bei rahisi sana.

Kama hizi za inchi 32, haizidi Tsh. 250,000

Zile za inchi 40-45, hazizidi Tsh. 350,000

Lakini zikishakuja mitandaoni tu, naona zote zinabadilika.
Bro nikishakua tayari kwenye ile issue itabidi nikushtue unielekeze hayo machimbo
 
 
Back
Top Bottom