SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kiongozi wa Wahouth inasemekana ameuliwa na Israel muda huu
Kulingana na vyombo vya Israel
🚨🚨🚨⚡️ BREAKING:

Israeli media reports the assassination of Abdul-Malik al-Houthi, leader of Yemen’s Ansar Allah (Houthi) movement.
 

Attachments

  • 20250614_233620.jpg
    20250614_233620.jpg
    41.2 KB · Views: 27
Kiongozi wa Wahouth inasemekana ameuliwa na Israel muda huu

🚨🚨🚨⚡️ BREAKING:

Israeli media reports the assassination of Abdul-Malik al-Houthi, leader of Yemen’s Ansar Allah (Houthi) movement.
Alikua na hilo Jambia walipomuua?
 
Mpaka sasa task waliyopewa jana Israel wameifanyia homework nzuri sana yale makombora yanakuwa intercepted barabara

Ila tujipe muda
Mkuu upo buza muda huu unajuaje kama missile za iran yanakua intercepted 😀,tuache ujuaji wabongo,israel mpaka sasa hawajajua wamepata athari kiasi mtu wa buza ushajua 😀
 
Kituo cha mafuta cha haifa kimechomwa na makombora ya Iran kinawaka moto muda huu
 
Back
Top Bottom