Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
😂😂🤣launchers hazipo
😂😂🤣launchers hazipo
Eti eeeeh?Ka
Mkuu missile launcher zipo nyingi nchini iran sio moja anachokifanya Israel ni kupiga pale ambapo zimerushwa, mwisho wa siku zitapigwa zote tu
Daaaaah, muda unafurahisha sana!Nimeona taarifa wanasema Iran kwa sasa Wana launchers 100. Tusubiri muda utatoa majibu
Eti eeeeh?Hii inaonyesha kabisa Iran sasa imebakiwa na launchers chache sana za kurusha hizo ballistic.
Hili zoezi liliishia wapi?Kwa sasa wanaweka guard drones and everything ili launchers zikionekana tu wazitungue
Vp mkuu naona uzi umeususa kabisaaa💥
Mlipuko mkubwa umetokea eneo la chardangeh
Kapigwa na miripuko makubwaVp mkuu naona uzi umeususa kabisaaa