Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
Gharama za Ujenzi zitakuwa kubwa sana
Lakini mwisho barrick ikaitwaa acaciaAcacia ilikuwa sio mmiliki ilikuwa ni kama kampuni Tanzu chini ya Barrick ambaye alikuwa ni shareholder mkubwa. Ndio maana kwenye mgogoro alikuja Rais wa Barrick badala ya CEO wa Acacia. Na baada ya kuondoka migodi yote ikabaki na Barrick.
Barrick ndio ya wakina Bush na Muasisi wake ni Myahudi Peter Munk
Bado Iran hawajarusha makomboraInashambulia wapi?
Ni sawa.Lakini mwisho barrick ikaitwaa acacia
launchers hazipoIran walisema watarusha makombora 400
siku nzima hawajarusha kituView attachment 3378220
Ni kweli hii kitu ya kisayansi tayari imeshaiva au ni AI
Subiri tuonelaunchers hazipo
Naona wanatoa warning tena watu wahame Tel Aviv ingawa pigo hili la sabato litakuwa zito sana kwao.siku nzima hawajarusha kitu
Mkuu nimeidownlod lakin mbona siion inakaa sehemu gan na inafananajeNdio maana huolewi..
Wanasema usiku wa Leo. Tusubiri upite ndio tuone kweli hapo jamaa wamemaliziwa launchers ZAO zotelaunchers hazipo
Gharama za ujenzi kwao sio tatizo, muhimu wabadilishe uongozi tu.Gharama za Ujenzi zitakuwa kubwa sana