City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel inashambulia kwa makombora muda huu eneo la Qeshm
IDF kupitia akaunti yao wamessma ni ndege 30 zimehusika kushusha mabomu 50Ameshambulia na anaendelea kushambulia muda huu maeneo yenye millitary base, launchers na maeneo yenye nuclear
Sijui wapo na ndege Vita ngapi muda huu, japo Kuna taarifa isiyo rasmi niliona inasema Kuna ndege 15 zinazoshambulia maeneo tofauti.
Ndio maana huolewi..Punguza kiherehere kwani nimequote mtu hapo!!!??? Halafu uzi sio wako mxiiiieeewwww
Ndio taarifa nilikua nataka kuleta,Naona Israel anashambulia Iran Navy
Duuuh mwisho wa haya ni nini?Israel inashambulia kwa makombora muda huu maeneo ya
- bandar lengeh
- Bushehr
- Joifa na
- Shahrood
Usilete hasira zako kwenye huu uzi ukijipitisha na mambo yasiyoeleweka utajibiwa kama una nuna nuna usikae kabisa humuPunguza kiherehere kwani nimequote mtu hapo!!!??? Halafu uzi sio wako mxiiiieeewwww
Anaogops kuuliwa akiwa Iran![]()
Israel-Iran updates: Israel prepared for ‘long campaign’ against Iran
The US has is moving its B-2 stealth bombers to the Pacific amid speculation around whether Trump will join war.aje.io
Waziri wa Iran wa mambo ya nje Kawa kama zelensky ni mwendo wa kuzurura kama rais wetu bibi samia sahivi jioni katoka Quatar kulalamika anaonewa na kashinda Uturuki
Ndio maana huolewi..
Wakishindwa hiyo basi watuhadithie tu Hilo tukio. Mi siku hizi nikiona tweets napita tu kwa kasiMnorusha hizi tweets ni bora mukascreenshot ss wengine hazioneshi
Duuuh mwisho wa haya ni nini?
Acacia ilikuwa sio mmiliki ilikuwa ni kama kampuni Tanzu chini ya Barrick ambaye alikuwa ni shareholder mkubwa. Ndio maana kwenye mgogoro alikuja Rais wa Barrick badala ya CEO wa Acacia. Na baada ya kuondoka migodi yote ikabaki na Barrick.Acacia ilikua ya bush family,mzozo na magu shareholders wakaleta vurugu, barrick wakainunua acacia, kampuni za south africa ulizozowea kuziona zikichimba madini tz ni matawi ya makampuni ya kibeberu ulaya na marekani
Vurugu za venezuela zinatokana na marekani kuyataka mafuta ya venezuela ambayo ni mengi kuliko sehemu yoyote ile, venezuela ni kambi ya mashariki
Brazil huwa ni mashindano baina ya mashariki (brics)na magharibi kuweka mtu ikulu
Israel is doing the dirty work for B-2 Spirit BomberNdio taarifa nilikua nataka kuleta,
Nimeona pia inasemekana ni kuandaa mazingira kwa marekani kuja kupiga hiyo fordow
Usilete hasira zako kwenye huu uzi ukijipitisha na mambo yasiyoeleweka utajibiwa kama una nuna nuna usikae kabisa humu
Hahahahaha 😂😂Punguza kiherehere kwani nimequote mtu hapo!!!??? Halafu uzi sio wako mxiiiieeewwww