SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kuna misaada au usharudi anatafuta
Taifa kama Quatar litampa msaada gani wakati ndipo kuna kambi kuu ya kijeshi ya USA mashariki ya kati, haya mataifa ya kiarabu yaliyoendelea kuna namna yanashajiweka mbali na wenzake, just imagine Palestine wanavyohaso yapo tu na biashara zao na magharibi zipo kama kawaida
 
Ndege vita za Israel aina ya F-35 muda huu zinashambulia kwa makombora maeneo ya
  • Qorveh Kurdistan
  • East Tehran
  • Isfahan na
  • Shiraz

Atarusha tu na yeye makombora baadae, tusubiri hakuna kulala maana Leo Israel wanashambulia siku nzima, so hata Iran pia watataka kurusha makombora mengi
Sidhani maana toka asubuhi hajarusha, inasemekana Israel anawinda launchers na missile depots na kingine drone ziko active muda wote hivyo wanakuwa na updates wakiona movwment tu wanashambulia.
Naona kama lengo lao litatimia.

Huenda wanajeshi wengi sana wa Iran wanakufa katika hayo mashambulizi ni vile hubali siri
 
Ameshambulia na anaendelea kushambulia muda huu maeneo yenye millitary base, launchers na maeneo yenye nuclear

Sijui wapo na ndege Vita ngapi muda huu, japo Kuna taarifa isiyo rasmi niliona inasema Kuna ndege 15 zinazoshambulia maeneo tofauti.
 
Back
Top Bottom