hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Unazunguka sana ,Allah wako anasema muwachukie wayahudiIran ndio nchi ya pili mashariki ya kati yote ambayo ina wayahudi wengi zaidi ukitoa Israel, yaani kwa Middle East ikitoka Israel kwa kuwa na wayahudi wengi inayofuata ni Iran..
Hii nadhani ndio imepelekea mazayuni wengi kujipenyeza na kufanya uharibifu mkubwa, lakini kuna misukule humu itakuambia Iran haipendi wayahudi, hivi kama ingekuwa wanawachukia na kuwabagua kwanini wayahudi wengi waishi Iran kwa wingi kuliko nchi zingine?
Hata mimi binafsi sina shida na yahudi, shida ni wazayuni, na hata hapa jf kuna wazayuni wengi, sio lazima uwe myahudi ili uwe mzayuni...
Kuwepo kwa wingi wa wayahudi ndio imepelekea mossad agent wengi kuingia na kufanya mauaji ya viongozi wa jeshi na wanasayansi wa Iran, wema na utu wa Iran umewaponza.
Lakini bado Israel haishindi hii vita....
Surat Al-Ma’idah (5:82)
"Hakika utawaona watu wenye uadui mkubwa kabisa kwa Waislamu kuwa ni Wayahudi na washirikina..
Surat Al-Ma’idah (5:51)
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Wayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na atakaye kuwa rafiki yao miongoni mwenu, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu."