SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Naona mossad wamejichimbia mzizi huko iran.

Maana jamaa hata wakijificha wanajulikana wapo wapi.

Iran wanaitaji reform kubwa sana katika jeshi lao na vyombo vya ya usalama kwa ujumla
Iran kinachowaponza ni Huruma yao, Serikali yao na Bunge lao yoyote yule wanamkubali. Mfano 2023-2024 watoto 600,000 wenye asili ya Afghanistan wapo shule za Iran, Bunge lao lina Jews, Wazungu wa Armenia, Georgia etc Hawa ndio wanao backstab Iran, Especially hao Afghanistan wengi kati ya hao Agents wa Mossad wanatoka Afghanistan, Mamluki wa Usa ambao wametolewa na Taliban.

Sema wengi wamekamatwa sasa hivi na Maficho mengi yamegunduliwa,
 
Kwa maana hiyo idara ya ujasusi ya Iran ni mbovu kuwahi kutokea,ilikuwa hakuna haja ya kuingia vitani na nchi inayokuzidi itntel maana wanapukutika km kuku wa mdondo...
 
20250621_195953.jpg

Mambo machungu ambayo wafuasi wa taifa teule inabidi tu wayakubali, wao ni binadamu 2nd grade na mabwana zao ndio first grade.
 
Iran ndio nchi ya pili mashariki ya kati yote ambayo ina wayahudi wengi zaidi ukitoa Israel, yaani kwa Middle East ikitoka Israel kwa kuwa na wayahudi wengi inayofuata ni Iran..

Hii nadhani ndio imepelekea mazayuni wengi kujipenyeza na kufanya uharibifu mkubwa, lakini kuna misukule humu itakuambia Iran haipendi wayahudi, hivi kama ingekuwa wanawachukia na kuwabagua kwanini wayahudi wengi waishi Iran kwa wingi kuliko nchi zingine?

Hata mimi binafsi sina shida na yahudi, shida ni wazayuni, na hata hapa jf kuna wazayuni wengi, sio lazima uwe myahudi ili uwe mzayuni...

Kuwepo kwa wingi wa wayahudi ndio imepelekea mossad agent wengi kuingia na kufanya mauaji ya viongozi wa jeshi na wanasayansi wa Iran, wema na utu wa Iran umewaponza.

Lakini bado Israel haishindi hii vita....
 
Uko ndotoni amka
 
Amemalizia huko mwisho unasemajee?
Pia hao ni wale Wana Israel enzi za Nabii Mussa ndio wanaozungumziwa hapo.
Shida huyo msenge anapost tu vitu hajui vinazungumzia nini.
Mbona una hasira , kwahiyo hao waisraeli Leo wapo wapi na nchi Yao ni ipi
 
Iran kinachowaponza ni Huruma yao, Serikali yao na Bunge lao yoyote yule wanamkubali. Mfano 2023-2024 watoto 600,000 wenye asili ya Afghanistan wapo shule za Iran, Bunge lao lina Jews, Wazungu wa Armenia, Georgia etc Hawa ndio wanao backstab Iran, Especially hao Afghanistan wengi kati ya hao Agents wa Mossad wanatoka Afghanistan, Mamluki wa Usa ambao wametolewa na Taliban.

Sema wengi wamekamatwa sasa hivi na Maficho mengi yamegunduliwa,
Kuwa na huruma na wakimbizi sio mzuri kabisa mkuu.
Sisi wenyewe tulikuwa na huruma na watutsi kutoka rwanda , wakasoma shule zetu na kuwapa uraia mpk kuwaingiza jeshini na idara zingine za serikali baadae kipindi Cha kikwete tukaelewa makosa yetu.
 
Back
Top Bottom