SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Super pawa ya makaratasi apo middle East inachakazwa vibaya mnooo kina Bibi faiza walivyo kua wanaipamba Iran mpaka unashangaa hiki kipigo anacho toa zayuni kubwa la maadui hivi hii Iran ni ya Alibaba au
Screenshot_20250621-181131_1.jpg

Ila mossad ukiacha kazi yao wamebobea kwenye vijembe

Juzi kati walipost picha wakaiwekea caption

Mkuu wetu anapata kahawa katika moja ya jiko tehran🤣🤣🤣

Hapo juu.ni mkuu wa mosad
na bibi wakiwa jikoni wakigonga kahawa tehran😁
 
View attachment 3377978
Ila mossad ukiacha kazi yao wamebobea kwenye vijembe

Juzi kati walipost picha wakaiwekea caption

Mkuu wetu anapata kahawa katika moja ya jiko tehran🤣🤣🤣

Hapo juu.ni mkuu wa mosad
na bibi wakiwa jikoni wakigonga kahawa tehran😁
Naona mossad wamejichimbia mzizi huko iran.

Maana jamaa hata wakijificha wanajulikana wapo wapi.

Iran wanaitaji reform kubwa sana katika jeshi lao na vyombo vya ya usalama kwa ujumla
 
Mossad agent aliyekamatwa akiwa amewekwa kiti moto...

Confession of a Mossad agent to the head of the judiciary: I used to go up to the roof to photograph and send messages about the locations of the anti-aircraft guns.


 
Back
Top Bottom