City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kambi ya jeshi iliyopo soumae kasr shrin border
Huu mwaka sio poa Netanyahu kajipeleka kubaya Iran mwisho wake kwasasa unatabilika tu.Hiyo foleni ya Cyprus usiombe, Iran kaahidi kushusha mzigo wa kutosha leo
Leta link banaIsrael muda huu inashambulia kwa makombora kambi ya jeshi iliyopo soumae kasr shrin border
Yes sema Iran sana anarusha ballistic missiles na hypersonic chache, japo pia anarusha drones ila habari niliyoona Al Jazeera iliyotolewa na IDF asilimia 99 ya drones zimezuiliwa, ndio maana effects nyingi huwa tunaziona wakirusha missiles.Hypersonic missile ni ngumu sana kuzuia.
Sema kwa iran hypersonic missile sidhani kama atakuwa nazo nyingi maana kutengeneza ni gharama nazo.Yes sema Iran sana anarusha ballistic missiles na hypersonic chache, japo pia anarusha drones ila habari niliyoona Al Jazeera iliyotolewa na IDF asilimia 99 ya drones zimezuiliwa, ndio maana effects nyingi huwa tunaziona wakirusha missiles.
Japo kweli jana usiku zote zilizuiliwa ndio maana lao Israel pamepoa.
Me nishasema Iran ukitoa missiles na drones hana cha kumtisha Israel ila hasa missiles, sehemu nyingi Iran yuko very poorHivi jamani
Mimi nashangaa inakuwaje iran mtu anapisha tuu ndege kwenye anga lako.
Anatawala tuu kama kwake.
Viongozi anauwa tuu anavyojisikia hii nyie mnaonaje wakuu.
Maana hata mbinu tuu za kujilinda kwako ni shida
Mkuu umeanza kutudanganya kizembe Sana hahahahahaMabinti wa kiyahudi wapo road kwenda kuchezea kende za ayatollah😁😁😁
Wiki imeisha anga linathibitiwa na mayahudi kababu ayatollah hata msikitini hakatokei siku hizi
Mm naomba vita iishe israel kashatuonyesha kuwa yeye ndio mkali wa hiz kaz
Nb hii picha ilikuwa dkk 20 kabla yakuanza kushusha mzigo ikabidi fueling ifanyike angan
View attachment 3377888
Afadhali. Sasa walau pro Iran wanaweza kuona unapost hata habari njema kwa upande wao.Video footage: helicopter ya Israel imeshindwa kutungua drone iliyotuwa na Iran, drone imepiga kwenye target. Angalia video
Yah nafikili Israel ndo anakifanya huko kutokomeza kabisa sector yake ya missile kabisa na drone.Me nishasema Iran ukitoa missiles na drones hana cha kumtisha Israel ila hasa missiles, sehemu nyingi Iran yuko very poor
Mkuu habari za iran mpk warushe drone au missiles kwenda Israel hakuna kingine zaidi ya hapo.Afadhali. Sasa walau pro Iran wanaweza kuona unapost hata habari njema kwa upande wao.
Mkuu tupashe habariVideo footage; Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora kambi ya Dezful