100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ndio mkuu...
Huyu shah!?
Huyu shah!?
Daaaa![]()
Israel-Iran updates: Israel prepared for ‘long campaign’ against Iran
The US has is moving its B-2 stealth bombers to the Pacific amid speculation around whether Trump will join war.aje.io
Hii ndio idadi ya Wairan waliofariki na kujeruhiwa japo taarifa za taasisi zisizo za kiserikali zinaonyesha ni kubwa kuliko hii
Ni hivyo, habari yake nilishaiweka juu.The image depicts smoke plumes rising over what appears to be a city in Ahvaz, Iran, potentially indicating military activity or conflict.
The image was shared on social media on June 21, 2025, with a caption in Persian translating to "Image of IRGC barracks and bases in Ahvaz".
The context of the social media post and comments suggests a discussion related to military figures and operations, possibly involving the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).
Kuna ubaya mtu kujifunika mzee?Kabla ya utawala wa kiislam iran walikuwa wanaishi kama watu wa magharibi, wanavaa vyovyote vile wanavyotaka.
View attachment 3377891
View attachment 3377892
View attachment 3377894
View attachment 3377895
Ila baada ya kuchukua nchi daaaa mambo ndo hayo
Hapo kwenye 400 weka iwe 450 waliokufa na hiyo 3056 weka majerui 3500 ndo idadi kamili mpaka muda huu huko irani![]()
Israel-Iran updates: Israel prepared for ‘long campaign’ against Iran
The US has is moving its B-2 stealth bombers to the Pacific amid speculation around whether Trump will join war.aje.io
Ila inaonekana Iran nako hali ni mbaya, hadi karibu wakimbizi milioni 4 wa Afghanistan wameamua kurudi kwao, pia zaidi ya watu milioni 5 wamekimbia Tehran
Iran walisema hahitaji misaada ya kijeshi wanajiweza.Hatujui Iran amefuata nini Turkiye na sidhani kama amefuata msaada directly.
Huyu erdgon wa turkey na macron wa Ufaransa tofauti ni tarehe za kuzaliwa ila ni mtu mmoja, waongeaji sanaDaaa dharau tuu hizo.
Nafikili kunakitu wanatafuta kutoka uturuki ndo maana wapo wapole
Sema rais wa uturuki ni mwongeaji tuu
Una video tuone yalivyotunguliwaIla makombora yako yote kumi ya jana usiku yalipigiwa masta angani😇 inshort mbele ya arrows 3 na David slings yalionekana kama sabuni tu
Hawaii ni mbali sana na middle east mkuu lazima uvuke pasific oceanB-2 bombers zimeonekana Hawaii zikijaza mafuta
Naona kazi inaanza sasa
Hypersonic missile ni ngumu sana kuzuia.Ila makombora yako yote kumi ya jana usiku yalipigiwa masta angani😇 inshort mbele ya arrows 3 na David slings yalionekana kama sabuni tu
Huwenda labda ameenda kwa swala la kidiplomasia zaidi.Iran walisema hahitaji misaada ya kijeshi wanajiweza.
Misaada ipo ya aina mingi hata mbinu za kivita nazo ni misaada tosha, au Nini wafanye kipindi hichi.
Sijasema ni vibaya.Kuna ubaya mtu kujifunika mzee?
Mbona hao wa chini wamevaa mitandio vizuri na wamependeza?
Ni wapi nimesema Angola ama DRc ni mataifa yenye nguvu kijeshi?..Uko empty sana kwa details na kujenga hoja,inaathiri hadi uulizaji maswali, rasilimali gani za mataifa yenye nguvu kijeshi wamezitamani na dhaifu kijeshi hawakuzitamani?.. DRC na angola ni mataifa yenye nguvu kijeshi?
View: https://youtu.be/86Nrv5izaTs
Maneno ya Raisi wa Marekani, Joe Biden kuhusu Israel.
Hawaii ni mbali sana na middle east mkuu lazima uvuke pasific ocean