Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Huyo ambassador wa iran to UN hio picha ni watu waliouliwa iran na masnhulizi ya Israel.
Japo kwenye hio video hawajaonyesha
Si Bush Wala family yake waliwai miliki Barick ila Bush aliwai kuwa Mshauri tu wa Barick.Acacia ilikua ya bush family,mzozo na magu shareholders wakaleta vurugu, barrick wakainunua acacia, kampuni za south africa ulizozowea kuziona zikichimba madini tz ni matawi ya makampuni ya kibeberu ulaya na marekani
Vurugu za venezuela zinatokana na marekani kuyataka mafuta ya venezuela ambayo ni mengi kuliko sehemu yoyote ile, venezuela ni kambi ya mashariki
Brazil huwa ni mashindano baina ya mashariki (brics)na magharibi kuweka mtu ikulu
Ko inshort sasa hivi Iran Cyber security ni 0, wakiwasha internet tu Israel atasema nao🥳
😂😂😂Acha kuhara wewe
Lakini kiu yangu ni moja tu kutaka kujua UK, US na NATO wanawajibikaje kwenye usalama na uwepo Israel iliyojengwa kama shukrani miaka michache tu iliyopita?
Je, kuna ukweli wowote kuwa Israel ni USA/NATO katika namna ya kutupumbaza na amewekwa pale kimkakati ili apate uhalali wa kuichokonoa middle east na kumiliki maliasili za ukanda huo?
Yupo huyo wa kwanza mkono wako wa kushoto , kutoka karibu na raisi wa uturukiSijaona bendera ya Iran hapo, au wamedharaulika kwa kuwa wanaenda kuomba msaada?
Left uzi kijana, mbona makasirikoWewe fala tafuta kazi ya kufanya
Nimemuona, ila najiuliza kwa nini bendera yao haijawekwa?Yupo huyo wa kwanza mkono wako wa kushoto , kutoka karibu na raisi wa uturuki
Au unafikili wairan maisha Yao kama peponiAcha kuhara wewe
Tupashe habari mkuu tupashe.Video footage: helicopter ya Israel imeshindwa kutungua drone iliyotuwa na Iran, drone imepiga kwenye target. Angalia video
watu wanataka warudi kwenye freedom, kabala ya utawala wa kina Mullahs kuwa finya uhuruSijui, ngoja tusubiri. Nimeona jumbe za baadhi ya wananchi wakihizana kuwa makini maana wanausalama wameanza kufatilia simu/mawasiliano ya watu
View attachment 3377837
Daaa dharau tuu hizo.Nimemuona, ila najiuliza kwa nini bendera yao haijawekwa?
watu wanataka warudi kwenye freedom, kabala ya utawala wa kina Mullahs kuwa finya uhuru
View: https://www.youtube.com/shorts/V6oaJOP6WMg?t=13&feature=share