SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nimekaa chini nikisoma kwa kina kinachoendelea kwenye hii vita ya Iran na Israel. Hapa JF ushabiki ni mwingi kuliko kawaida ni wazi watu akili zao wameamua kuziweka kwenye 'plane mode'.

Lakini asilimia kubwa ya mashabiki wanasema Israel anachezea kichapo cha mbwa koko 😄. Ila nikiangalia ground kuna vitu vinanishangaza sana.

Moja ya kitu kilichonishangaza ni kiongozi wa Iran Ayatollah Khamenei. Tumesoma historia vita nyingi duniani kuanzia wakina Vikings, Bonaparte, Alexander the Great na hawa wa karne za karibuni katika wote hao walikuwa mstari wa mbele kuongoza vita hizo bila woga wowote.

Lakini tofauti niliyoiona na iliyonishangaza kwa Khamenei ni vita kuendelea na majemedari kuchinjwa na Mossad wakati yeye kajificha ndani ya shimo. Kilichonishangaza zaidi ni kutuma tweet ya kumpiģa mkwara Trump wakati yupo ndani ya shimo.

Nilidhani huyu bwana angetoka hadharani km huyu Netanyahu hapo nitaona Iran anaweza kuchallenge akili ya myahudi lakini vinginevyo ni nguvu ya soda tu.

Hofu yangu ni hawa mayahudi wakianza kuangusha vitu vyao🚀🚀 kwenye miji ya Iran hali itakuwa mbaya zaidi ya ile ya Gaza.
Yale yale kwamba yupo ana tweet yuko shimoni? 😅😅😅
Source yako ni deep sana mkuu.
 
Video footage: Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora eneo la baghestan shahriar Tehran
 

Attachments

  • 2025-06-21_17-52-50_0.mp4
    478.8 KB
Marubani 16 wa Kiisraeli wako angani juu ya Iran - utawala uleule ambao ulitumia miaka mingi kuwakandamiza wanawake. Sasa wamepindua meza wako futi 30,000 wanaitwanga Iran kutoka juu.

Mytake:Israe kweli ni kiboko wanawatumia mpaka wanawake kuwapiga Jeshi lililokuwa linasifiwa na watu kupita kiasi leo linapigwa na wanawake aibu tupu inabidi Ayatollah Khamenei atoe Fatwa!!!!
 

Attachments

  • IMG_3424.jpeg
    IMG_3424.jpeg
    185.1 KB · Views: 18
Video footage; Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la Isfahan
 

Attachments

  • 2025-06-21_17-55-27_0.mp4
    368.8 KB
According to Iran wamehamisha vinu vyao, probably role ya Mrusi Iran ni hio,

Na pia toka Zamani vinu ambavyo vipo juu ya Ardhi ni geresha tu, kila mtu anajua project zote za Iran zinafanyika chini ya Milima.
Mnasema Iran hakuna mtandao ila cha ajabu habari zao ndio zinaongoza kupatikana humu
 
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kwenye checkpoint inayoelekea ilipo kambi ya makombora ya Iran iitwayo Imam Alli huko korramabad
 
Back
Top Bottom