SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hivi ni kwanini West ipo obsessed na Rasilimali za Mataifa yenye nguvu kijeshi tu uku nchi kama Venezuela,Tanzania,Brazil ama Angola hawana shida nazo?.

Namely,wao wanataka Rasilimali za N/korea,Urusi ama Iran nchi tu,Nchi ambazo zina uwezo wa kuleta maafa makubwa kwenye Nchi zao uku wakizipa mgongo Nchi zenye rasilimali kama kama hizo hizo wanazozitaka.

Ni kama kibaka anaelenga kukaba watu waliojihami na silaha tu uku watu wasio na silaha kwake sio target.
"Ukiwa na Vito vya thaman na una Silaha kwake unakuwa easy target ila ukiwa na hivyo Vito na huna silaha kwake sio target".
ama ndiyo wanafuata Kamba isiyokatika pembamba?.
Huku kwetu tunawapa wenyewe ndio maana hawatumii nguvu... Siku tukijitambua ndipo utaona wanaanza kututishia na silaha za moto na vikwazo
 
Screenshot_20250621_140153_Facebook.jpg
 
Nimekaa chini nikisoma kwa kina kinachoendelea kwenye hii vita ya Iran na Israel. Hapa JF ushabiki ni mwingi kuliko kawaida ni wazi watu akili zao wameamua kuziweka kwenye 'plane mode'.

Lakini asilimia kubwa ya mashabiki wanasema Israel anachezea kichapo cha mbwa koko 😄. Ila nikiangalia ground kuna vitu vinanishangaza sana.

Moja ya kitu kilichonishangaza ni kiongozi wa Iran Ayatollah Khamenei. Tumesoma historia vita nyingi duniani kuanzia wakina Vikings, Bonaparte, Alexander the Great na hawa wa karne za karibuni katika wote hao walikuwa mstari wa mbele kuongoza vita hizo bila woga wowote.

Lakini tofauti niliyoiona na iliyonishangaza kwa Khamenei ni vita kuendelea na majemedari kuchinjwa na Mossad wakati yeye kajificha ndani ya shimo. Kilichonishangaza zaidi ni kutuma tweet ya kumpiģa mkwara Trump wakati yupo ndani ya shimo.

Nilidhani huyu bwana angetoka hadharani km huyu Netanyahu hapo nitaona Iran anaweza kuchallenge akili ya myahudi lakini vinginevyo ni nguvu ya soda tu.

Hofu yangu ni hawa mayahudi wakianza kuangusha vitu vyao🚀🚀 kwenye miji ya Iran hali itakuwa mbaya zaidi ya ile ya Gaza.
 
Hivi ni kwanini West ipo obsessed na Rasilimali za Mataifa yenye nguvu kijeshi tu uku nchi kama Venezuela,Tanzania,Brazil ama Angola hawana shida nazo?.

Namely,wao wanataka Rasilimali za N/korea,Urusi ama Iran nchi tu,Nchi ambazo zina uwezo wa kuleta maafa makubwa kwenye Nchi zao uku wakizipa mgongo Nchi zenye rasilimali kama kama hizo hizo wanazozitaka.

Ni kama kibaka anaelenga kukaba watu waliojihami na silaha tu uku watu wasio na silaha kwake sio target.
"Ukiwa na Vito vya thaman na una Silaha kwake unakuwa easy target ila ukiwa na hivyo Vito na huna silaha kwake sio target".
ama ndiyo wanafuata Kamba isiyokatika pembamba?.
Japo siyo mtaalamu wa hayo mambo ila nitajibu kwa ufahamu wangu mdogo.

Kwa kawaida mtawala huwa anazuia kuibuka kwa watawala wapya watakaoangusha utawala wake. Ndio maana nchi yoyote yenye uwezo mkubwa kijeshi na mlengo tofauti na NATO inapoanza kuinuka kiuchumi huwa ni kitisho kwa wakubwa, hivyo lazima izuiwe kutumia rasilimali zake ipaswavyo ili isije kufanikiwa kiuchumi. Bila uchumi mzuri, jeshi ni kanyaboya tu. Ndio maana nchi ambazo zinainukia kijeshi zikiwa kinyume na NATO huwa zinakumbana sana na vikwazo vya kiuchumi na machafuko za kijamiaa k.m uasi na mapinduzi. Nchi yoyote ikishajiweza kijeshi na kiuchumi inakuwa untouchable

Nchi maskini zenye rasilimali siyo kitisho kwa nchi zilizoendelea maana wanajua wanaweza kuzi-control na hizo rasilimali haziwezi kuzisaidia hizo nchi kuwapiku wao na pia wakizihitaji muda wowote watazipata
 
Nimekaa chini nikisoma kwa kina kinachoendelea kwenye hii vita ya Iran na Israel. Hapa JF ushabiki ni mwingi kuliko kawaida ni wazi watu akili zao wameamua kuziweka kwenye 'plane mode'.

Lakini asilimia kubwa ya mashabiki wanasema Israel anachezea kichapo cha mbwa koko 😄. Ila nikiangalia ground kuna vitu vinanishangaza sana.

Moja ya kitu kilichonishangaza ni kiongozi wa Iran Ayatollah Khamenei. Tumesoma historia vita nyingi duniani kuanzia wakina Vikings, Bonaparte, Alexander the Great na hawa wa karne za karibuni katika wote hao walikuwa mstari wa mbele kuongoza vita hizo bila woga wowote.

Lakini tofauti niliyoiona na iliyonishangaza kwa Khamenei ni vita kuendelea na majemedari kuchinjwa na Mossad wakati yeye kajificha ndani ya shimo. Kilichonushangaza zaidi ni kutuma tweet ya kumpiģa mkwara Trump wakati yupo ndani ya shimo.

Nilidhani huyu bwana angetoka hadharani km huyu Netanyahu hapo nitaona Iran anaweza kuchallenge akili ya myahudi lakini vinginevyo ni nguvu ya soda tu.

Hofu yangu ni hawa mayahudi wakianza kuangusha vitu kwenye miji ya Iran hali itakuwa mbaya zaidi ya ile ta Gaza.
Netanyahu mwenyewe alipotoa amri ya kushambulia alimkimbilia Cyprus kujiokoa na roho yake 🤣🤣
 
Nimekaa chini nikisoma kwa kina kinachoendelea kwenye hii vita ya Iran na Israel. Hapa JF ushabiki ni mwingi kuliko kawaida ni wazi watu akili zao wameamua kuziweka kwenye 'plane mode'.

Lakini asilimia kubwa ya mashabiki wanasema Israel anachezea kichapo cha mbwa koko 😄. Ila nikiangalia ground kuna vitu vinanishangaza sana.

Moja ya kitu kilichonishangaza ni kiongozi wa Iran Ayatollah Khamenei. Tumesoma historia vita nyingi duniani kuanzia wakina Vikings, Bonaparte, Alexander the Great na hawa wa karne za karibuni katika wote hao walikuwa mstari wa mbele kuongoza vita hizo bila woga wowote.

Lakini tofauti niliyoiona na iliyonishangaza kwa Khamenei ni vita kuendelea na majemedari kuchinjwa na Mossad wakati yeye kajificha ndani ya shimo. Kilichonishangaza zaidi ni kutuma tweet ya kumpiģa mkwara Trump wakati yupo ndani ya shimo.

Nilidhani huyu bwana angetoka hadharani km huyu Netanyahu hapo nitaona Iran anaweza kuchallenge akili ya myahudi lakini vinginevyo ni nguvu ya soda tu.

Hofu yangu ni hawa mayahudi wakianza kuangusha vitu vyao🚀🚀 kwenye miji ya Iran hali itakuwa mbaya zaidi ya ile ya Gaza.
Kumbe Israel bado haijaanza kuangusha vitu kwenye miji ya Iran. Kumbe Hospital, television na mfumo wa maji taka wa Tehran vyote hivyo vilipitiwa na kimbunga au tetemeko la ardhi siyo vitu vya israel
 
Venezuela si unaona vurugu lake, mafuta ya angola na almasi wanavyo,savimbi walimtelekeza walipopewa dili,tanzania wanayo,barrick, acacia
hizo ni vurugu za kisiasa na sio vita
Venezuela,Maduro hataki kuachia uRais na case ya Tanzania ipo kimkataba zaidi.waona mbali walilionya taifa kuhusu mikataba hiyo lakini wakapuuza.
na kingine;, Marekani haina kapun ya uchimbaji madini Tanzania(nisahihishwe ikiwa nimekosea)bali wakanada ndiyo wanamigod Tanzania.
 
Back
Top Bottom