SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ndege vita za Israel F-16 na F-15 eneo la Kashan Iran
20250621_131826.jpg
 
Lakini mkuu mbona kuna njia 2 zenye tofauti ndogo tu kwanini wapiganie hii njia ya uajemi?

Mfano angalia hii njia ya pili meli kubwa na ndogo zinaweza kupita uturuki hadi Misri na kuja kutokea jirani na eneo lilelie na zikaweza kwenda India na mashariki mwa afrika kwa hesabu ileile?View attachment 3377657View attachment 3377658
Njia ya Uajemi ina mambo makuu mawili:

Mosi, inapunguza urefu wa safari kwa siku zisizopungua 15 tofauti na ile ya Suez Canal ambayo kwa meli hutumia siku 30 hadi 45, kutoka Asia hadi Ulaya. Hivyo kutoka Persian Gulf, hadi St.Petersburg itakuwa ni njia fupi zaidi kama watatumia The North-South Corridor.

Pili, North-South Corridor itakuwa nje ya makucha ya G7 na NATO. Jambo ambalo kiusalama na kiuchumi ni jema kwa mataifa mengi. Hivi leo hii unadhani, Marekani ikifunga Suez-Canal kuna mtu Ulaya au Asia atapiga kelele ??? AU leo hii ikitokea vita kati ya Marekani na Uchina, na Marekani akawaambia Singapore wafunge Malacca Strait, unadhani Uchina anayetegemea nishati kutoka Persian Gulf atatoboa kweli ???

Mambo ni mengi sana, japo hii njia siyo chanzo kikuu cha mgogoro. Sasabu zipo lukuki. Israel, Saudi-Arabia, Qatar nao wana mpango mkubwa wa kutengeneza njia mpya kukwepa Suez Canal, jambo ambalo litawapa nguvu kubwa mno kwenye biashara ya dunia dhidi ya UE.

IMEC-final-route-in.jpg
​

NB: Kinachoendelea saa hizi hakina utofauti na kile kilichokuwa kinafanyika karne za 18 na 19 kwenye kugombania ujenzi wa SUEZ CANAL na The Berlin Baghdad Railway ili kutawala biashara ya dunia
 
Mkuu kwa comments zinazoendelea humu, asilimia kubwa tumeamua kukufuatilia wewe maana hauna upande unaopendelea.

Wengine wanaweka ushabiki wa kidini badala ya updates zenye ukweli.
Hana upande anaopendelea wakati kila shambulio la Iran hudai yote yamekua intercepted ilhali chini kunawaka,we sema anapost yanayokufurahisha
 
🚨 Breaking: Isar Tabatabayee, an Iranian nuclear scientist, was eliminated.

Life expectancy of a nuclear scientist in Iran is now officially lower than that of a fruit fly.
 
🚨 Breaking: General Abdul Rahim Mousavi, the newly appointed Chief of Staff of Iran's Armed Forces, was eliminated.

His predecessor was eliminated eight days ago.
 
Back
Top Bottom