SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila makombora yako yote kumi ya jana usiku yalipigiwa masta angani😇 inshort mbele ya arrows 3 na David slings yalionekana kama sabuni tu
Sasa hizi video za mlipuko leo asubuhi ni nini kimelipua?






Zote video za Jana usiku na leo Asubuhi.
 
Saed Izadi, commander of palestian corps in Iran quads force ameuliwa leo na majasusi wa mossad huko Tehran. Inasemekana nae aliplay part kubwa kwenye mashambulizi ya October 7 nchini Israel
20250621_123338.jpg
 
Anaongelea yale mabox ambayo Israel aliyapiga, Iran Aliweka ndege feki F14 (Tomcat) IDF akazipiga waka upload kwenye mtandao.
Wewe kweli katika watu wapumbavu unaongoza yaani Itelenjensia ya Mossad iliyofahamu location ya viongozi wa kijeshi na kuwaua ishindwe kufahamu uwepo wa ndege feki zilizotegeshwa ?
 
Picha nyingi ambazo zinawafurahisha hawa ndugu zetu ni AI zinazotengenezwa na wa mitandaoni au na watu au serikali ya Iran kujionesha nao wanafanya jambo la mana. Must be sad kufurahishwa na propaganda. In reality, Iran iko weaker hata kuliko Hezbollah na Hamas.
Ni kweli mashambulizi ya Iran ni AI hata Netanyahu anavyoenda kutembelea majengo yaliyogeuzwa vifusi na kuanza kubwekabweka ni AI pia
 
Sasa hizi video za mlipuko leo asubuhi ni nini kimelipua?
View attachment 3377612
View attachment 3377613
View attachment 3377615
View attachment 3377616
View attachment 3377617

Zote video za Jana usiku na leo Asubuhi.
Mkuu leo usiku saa tisa, Iran ilirusha makombora kwenda Israel, makombora yalikua intercepted but shrapnel/fragments za za moja ya interception ndio ikaanguka kwenye Hilo jengo na kusababisha Moto. Niliweka hii picha ilivyokua. Hilo sio kombora ni shrapnel/fragment
20250621_030807.jpg
 
Yupo sawa, hizi zilikua ni shrapnel baada ya interception. Kombora lingefumua kote hapo
Kuna video mbili tofauti za Jana nimeweka juu hapo nakuekea na hapa zote zimepostiwa jana



Unaona kabisa missile ya kwanza ipo intercepted ya pili ina hit target video zote.
 
Muda mchache uliopita israel imefanya mashambulizi ndani ya kambi ya mafunozo ya Ashura huko Tabriz
 
Muda mchche uliopita drone ya Iran imepiga eneo la barabara kusini mwa Israel
View attachment 3377589
Kijeshi huku kunaitwa kutapatapa maana nijuavyo mimi Israel ziko targets nyingi sana zakupiga ikiwemo kituo cha Nuclear cha Dimon kambi za kijeshi na viwanja vya ndege-vita ambavyo viko wazi nchini kote.

Iran sasa hivi anaweweseka hana cha kufanya baada ya Makamanda wake waandamizi 30+ kuuwawa kijinga na sasa anajifanya kichaa kwa kurusha makombola yake ovyo ovyo na popote. Sasa ni zamu ya Israel kumpiga kwenye mszono tu hakuna haja ya kupiga maeneo ya raia!!!!
 
Mkuu leo usiku saa tisa, Iran ilirusha makombora kwenda Israel, makombora yalikua intercepted but shrapnel/fragments za za moja ya interception ndio ikaanguka kwenye Hilo jengo na kusababisha Moto. Niliweka hii picha ilivyokua. Hilo sio kombora ni shrapnel/fragment
View attachment 3377626
Sharpnel ina acha mlipuko kama huu?

20250621_124721.jpg
 
Kuna video mbili tofauti za Jana nimeweka juu hapo nakuekea na hapa zote zimepostiwa jana
View attachment 3377631
View attachment 3377632

Unaona kabisa missile ya kwanza ipo intercepted ya pili ina hit target video zote.
Hakuna missile iliyohit target Jana. Nilikua nipo kotekote kufatilia. zaidi ni shrapnel kuanguka sehemu ya jengo baada ya interception

Kuwa na amani, bado Iran itarusha makombora na pengne wave inayokuja yapo yatayopoga kama ilivyotokea siku zingine. Lakini za Jana usiku zote zilikua intercepted, check your sources again.
 
Back
Top Bottom