SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

H
Hakuna missile iliyohit target Jana. Nilikua nipo kotekote kufatilia. zaidi ni shrapnel kuanguka sehemu ya jengo baada ya interception

Kuwa na amani, bado Iran itarusha makombora na pengne wave inayokuja yapo yatayopoga kama ilivyotokea siku zingine. Lakini za Jana usiku zote zilikua intercepted, check your sources again.
apa unaleta ushabiki na wewe
 
Sharpnel ina acha mlipuko kama huu?

View attachment 3377638
Umeiweka picha kwa mbali ilhali ya karibu ipo na nimekuwekea. Shrapnel inaacha Moto kulingana na reactions
Wenzako muda huo ilipotokea walibishana sana, lakini mwisho walielewa. Unajua tatizo la huu ushabiki sio humu yu hata huko nchi zingine, fatilia hapa pro Iran wenzako walipokua wanabishana muda huo, but walielwa ni shrapnel na sio missile. Relax baadae yapo yatayopoga lakini kwa hiyo wave ya mwisho hapana hakuna lililopiga
Fatilia wenzako walipokua wanabishana

View: https://x.com/WarMonitors/status/1936212641006879111?t=rsSvN8GrDLrgaYyc9hnwcQ&s=19

View: https://x.com/WarMonitors/status/1936210868917960784?t=ieclFH9H31rfo_KqsDMB3g&s=19
 
H

apa unaleta ushabiki na wewe
Mkuu hii ni kombora?
20250621_030807.jpg
 
Hakuna missile iliyohit target Jana. Nilikua nipo kotekote kufatilia. zaidi ni shrapnel kuanguka sehemu ya jengo baada ya interception

Kuwa na amani, bado Iran itarusha makombora na pengne wave inayokuja yapo yatayopoga kama ilivyotokea siku zingine. Lakini za Jana usiku zote zilikua intercepted, check your sources again.
Kwa hio hizo video zimetoka wapi? Na sio missile tu kuna drones kibao zime hit target with video proof, Jana Apache kibao zilikua Angani Golan height, Haifa zote kuna impact.

Maybe angalia source zako zinakudanganya?
 
Tatizo kubwa ni ushabiki wenu wote mkubwa mlionao. Bado waves zinakuja yapo yatayopenya na wazi utaona impacts zake
Video na picha za shrapnels zipo na ndio nilichokueleza. Soruces zidanganye nini wakati kombora likihit linaonekana wala Hakuna mtu atakudanganya hili ni kombora au si kombora
 
Kwahiyo hujui kuwa ndani ya Israel wakristo wanatemewa mate na Wayahudi na neno kristo halitakiwi kabisa kusikika na idadi ya hao wakristo wenyewe waliopo Israel ni wachache kuliko waislam?
Ndio maana kobazi ni marafiki na wayahudi na Netanyahu huwa ana quote quran kuliko BIBLIA?
 
Tatizo kubwa ni ushabiki wenu wote mkubwa mlionao. Bado waves zinakuja yapo yatayopenya na wazi utaona impacts zake
Video na picha za shrapnels zipo na ndio nilichokueleza. Soruces zidanganye nini wakati kombora likihit linaonekana wala Hakuna mtu atakudanganya hili ni kombora au si kombora
Sio ushabiki ni ukweli, sina muda mkuu wa ku upload video humu kila dakika kadhaa ila na upload tu hizi uone

Golan Height jana baada ya Drone kufanya mambo yake na Apache ikionekana kuondoka baada ya kumiss Target

Hapa Settlers wakienda kuangalia nyumba ilioharibiwa na drone jana

So mkuu usitake kutuchota akili kila unachopost wewe ni fact, kuna mambo kibao huyaandiki na yanatokea.

Nimekuwekea video with Proof zikipiga Target na video with proof drone zikipiga na zikifukuzwa Anga ya Israel jana. Mengine na kuachia wewe.
 
Mkuu wewe ubishi wa kishabiki tuachie sisi tuparurane. Wewe fanya kazi moja tu, Iran akipigwa/kukinga tuambie, Israel akipigwa/kukinga tuambie. Binafsi nasoma updates zako tu, ngonjera naziruka nawaachia mashabiki.
 
Sio ushabiki ni ukweli, sina muda mkuu wa ku upload video humu kila dakika kadhaa ila na upload tu hizi uone

View attachment 3377648

Golan Height jana baada ya Drone kufanya mambo yake na Apache ikionekana kuondoka baada ya kumiss Target

View attachment 3377649

Hapa Settlers wakienda kuangalia nyumba ilioharibiwa na drone jana
View attachment 3377650

So mkuu usitake kutuchota akili kila unachopost wewe ni fact, kuna mambo kibao huyaandiki na yanatokea.

Nimekuwekea video with Proof zikipiga Target na video with proof drone zikipiga na zikifukuzwa Anga ya Israel jana. Mengine na kuachia wewe.
Kuhusu drone kuoiga mbona Hadi picha nimekweka ilipopiga labda kama hukuwa aware

Nilichobisha mm ni kusema wave ya mmwisho kuna missile ilipiga.
 
Ukisoma vizuri historia utafahamu kwamba mataifa ya Magharibi yamekuwa yana kiwewe (Obsession) na madola ya Uajemi tokea kipindi cha kale. Amini nakwambia hata kina Ayatollah na dola la kiislamu wakipinduliwa na Iran likawa dola la Kikristo, Marekani, Israel na Uingereza hawawezi kuwaacha waajemi waishi maisha yao.

Madola yote ya kale makubwa, kuanzia Macedonia, Rome, Rashidun Caliphate, Mongol Empire, Holy Roman Empire, British Empire, Russian Empire na The Soviet Uniona yote yamewavamia waajemi kwa nyakati tofauti katika historia ya miaka 2000 iliyopita. Leo hii Marekani inafanya hivyohivyo. Chanzo kikubwa ni kwamba Iran ina utajiri mkubwa mno, lakini pia iko katikati ya barabara ya kimataifa inayounganisha Europe, Middle East, Central Asia na Far East.

Wagiriki walivyofanikiwa kuvamia Uajemi, walifanikiwa kufika hadi India na kutengeneza makoloni makubwa kama Greco-Bactria yaliyokuwa jirani kabisa na Uchina. Waislamu walipofanikiwa kutawala Iran (Sassanid Empire) ndiyo wakaleta ustaarabu mkubwa duniani kwa kuunganisha Ulaya na Asia. Leo hii Urusi, Israel na Marekani zinagombania njia ya Iran na Pakistan ambazo ni muhimu kwa biashara ya dunia na ulinzi.

Kumbukwa mwaka 1946, Joseph Stalin na Harry Truman waligombana mno kwasababu Urusi alikataa kutoka Iran baada ya vita vya pili vya dunia. Marekani alifahamu kabisa kwamba kama Urusi akikalia Iran ingekuwa basi tena kwasababu ni sehemu muhimu kimkakati. Leo hii, mbali na mengine, anayetafutwa Iran ni Uchina. Iran ikianguaka litakuwa ni pigo kubwa mno kwa Uchina, kiusalama, kibiashara na Kimkakati kutokana na umuhimu wake.

Mambo ni mengiiiii sana.
View attachment 3377610

NB: Hii njia ni moja ya sababu kubwa inayoweza kuondoa kabisa nguvu ya G7 kwenye biashara ya dunia, na kuzifanya Iran-Pakistan kuwa, THE NEW SUEZ/MALACCA CANALS. Jambo kama hili likitokea G7 itakuwa na hali mbaya.

Sababu ni nyingi mno, ila fahamu kwamba tatizo siyo Ayattolah wala Uislamu, tatizo ni lilelile la miaka yote: EXCESSIVE EMPIRIALISM.
​
Lakini mkuu mbona kuna njia 2 zenye tofauti ndogo tu kwanini wapiganie hii njia ya uajemi?

Mfano angalia hii njia ya pili meli kubwa na ndogo zinaweza kupita uturuki hadi Misri na kuja kutokea jirani na eneo lilelie na zikaweza kwenda India na mashariki mwa afrika kwa hesabu ileile?
Screenshot_2025-06-21-13-07-13-07.png
Screenshot_2025-06-21-13-06-20-78.png
 
Back
Top Bottom