Ndiyo maana nilikuuliza hivyo ndivyo ulivyo karirishwa?
Nchini Israel ni kosa kwa mtu yeyote kumtemea mate na ukipatikana unafungwa miaka mitano na faini juu!!!
Kuna clip inayosambazwa na Wafuga Midevu na Majini ambayo ndiyo inatumika kama Propaganda kutaka kuonyesha wayahudi ni watu wabaya sana. Hizo ni Propaganda uchwara tu.
Nakuambia hivyo kwa sababu mimi mwenyewe nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025 nimeona kwa macho yangu kuwa tunayoambiwa na Wafuga Midevu na Majini ni uongo uliopindukia.