Nitakuletea ushahidi wa raia wengi kukimbia Israel.Kuna point labda hatujaelewana. Mm nilichobisha ni full statement ya waisrael kuikinbia nchi. Lakini kwa Hali ya kawaida kwa watu wote nchi nzima lazima watakuwepo wataoondoka na nilisemma hasa wenye uwezo, lakini haiwezi kuwa maana yake raia wanakimbia.
Nikakutolea mfano wannchi wa Iran unafikiri wao huko hakuna wanaoondoka? Je tunaweza kusema in a full statement wairan wanakimbia nchi?
Mfano hapa kuna wairan ambao wameomba ukimbizi nchi jirani, je tunaweza kuconclude kuwa wairan waanza kukimbia nchi na kuomba ukimbizi sababu ya hawa?
View attachment 3376166
View attachment 3376165
Stay tuned kaka.