SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kiwango Cha raia wa Iran kukimbia kulinganisha na idadi yao ni ndogo kuliko Israel.
Israel asilimia kubwa wameamua kukimbia nchi.
Wengine wako wanataka kuvukia Sinai.
Wizara ya usafirishaji imekataza wao kuondoka na ikisema wataondoka wageni tu
Mkuu mm ngoja niwaache na hizi hisia zenu. Nimeona wote mna hisia kali, pro israet hisia ni kali na pro Iran wote hisia ni kali.

Yaishe mkuu. Tuendelee kusubiri
 
Inaonekana hapo ilipokuwa Cyber command center karibu na hospital ya soroka, kutakuwa kume impact Israel na kuna watu muhimu itakuwa wamekufa.
Inawezejana pia ndio ilikuwa inaongoza hacking na cyber warfare dhidi ya Iran hasa zike juzi kuanzia Bank, Internet na matangazo ya TV
Common sense: unahisi kwa sasa command za Iran na Israel zitakua zinafanya kazi underground (bunkers) au kwenye majengo ya kawaida?
 
Hauoni Syria sahivi kumepoa wanaejoy maisha, me nachoamini Israel lengo lake kuu ni kumuangusha Ayatoulah sio kuharibu nyukilia wala nini
Babu anamiaka 86 sasa inasaidia nn kuua Babu mwenye miaka 86. Huyo Mzee akifikisha miaka 90 na uwezo wake wa kufikiri unapungua. Siwatulie tu miaka 4 ijayo utawala utabadilika.
 
Lile kombora lililorushwa jana angani na Iran inasemekana ni mind game kujambisha. Halikwenda kwenye target yeyote Israeli inawezekana lilipigwa mahala jangwani huko au baharini.

Likirushwa nyuma linaacha alama za moshi kama sperm hivi kulingana na shape yake.
Specs ni 1000km- 2000km angani then linarudi kupiga target.

Ayatollah hatumdai.
Wayahudi wa Buza wakaja na wallpaper humu eti limekuw intercepted kumbe ngoma inaenda zake atmosphere 😹😹
 
Kiwango Cha raia wa Iran kukimbia kulinganisha na idadi yao ni ndogo kuliko Israel.
Israel asilimia kubwa wameamua kukimbia nchi.
Wengine wako wanataka kuvukia Sinai.
Wizara ya usafirishaji imekataza wao kuondoka na ikisema wataondoka wageni tu
Iran kwa kauli ya Allahu Akbar inawapa ujasiri wakuvumilia ata kama wanakufa, haina tofauti na ile vita ya maji maji, wanasema maji maji huku wanakufa.
 
Inaonekana hapo ilipokuwa Cyber command center karibu na hospital ya soroka, kutakuwa kume impact Israel na kuna watu muhimu itakuwa wamekufa.
Inawezejana pia ndio ilikuwa inaongoza hacking na cyber warfare dhidi ya Iran hasa zike juzi kuanzia Bank, Internet na matangazo ya TV
Hapo hulala askari wengi sana,walioumizwa Gaza hutibiwa juu,chini kambi mbalimbali, Iran kapeleka chuma kizito,msiba mkubwa hapo
 
Back
Top Bottom