SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Uliliona tangazo la waziri wa usafirishaji wa Israel?
Aliongea live alisema serikali isiruhusu raia yeyote wa Israel kutoka nchini.
Wanaoruhusiwa kutoka ni raia wa kigeni na diplomats wa kigeni.
Kaa fikiria hii inaashiria nini.
Vita ya Hamas imewaohamisha raia million Moja na robo wa Israel.
Hii imeonesha raia wengi zaidi ya vita ya Hamas wanataka kuondoka.
Na hao walioondoka kipindi cha vita ya Hamas ni laki tatu tu ndio wamerudi.
Mkuu huwa mnaweza hisia sana mnapojadili hizi mada.

Unajua ni hatari kwa waisrael kuwa nje ya nchi yao kipindi hiki kuliko hata kuwa ndani ya Israel? Hivi unajua kuwa toka ile vita yao na hamas ianze mwaka Jana Israel ilisitisha kushiriki michuano mbalimbali ya michezo sababu ya kuwa targeted na watu wenye misimamo mikali?

Israel kwa sasa husaidia hata walio nje ya nchi warudi ndani sababu ndio salama kwao kuliko kuwa huko nje

View: https://youtu.be/5uj5YoVJTLU?si=cU1cVlGu3CJ7k4C8
 
Lile kombora lililorushwa jana angani na Iran inasemekana ni mind game kujambisha. Halikwenda kwenye target yeyote Israeli inawezekana lilipigwa mahala jangwani huko au baharini.

Likirushwa nyuma linaacha alama za moshi kama sperm hivi kulingana na shape yake.
Specs ni 1000km- 2000km angani then linarudi kupiga target.

Ayatollah hatumdai.
 
Kuna mtu anaweza kunambia uhusiano gani wa kindugu, kisiasa, kitamaduni, kijamii, kijeshi au wa aina ina yoyote ule alionao Israel na mataifa makubwa ya Ulaya na US?

Yaani ukimgusa Israel kidogo tu ni kama umekanyaga kende za USA na washirika wake.
NB. Asitokee mtu akanambia wanasyansi wa Israel ndio wanaoiongoza USA na upuuzi kama huo.

Wako pale strategically, naanza kuamini tafsiri ya Zionist na Jews, Zionist ni wahuni walitoka Ulaya kuja Israeli ila Jews wenyewe ndio natives wa mashariki ya kati ambao inaonekana hawakubaliani na hawa Zionist.
 
Iran wanahama mji sio nchi, ni kweli Israel raia wanakimbia wengine wanapanda boat kwenda Cyprusus, nauli mwanzoni kwa boat ilikuwa $20 hivi sasa ni $5000..
Mkuu raia wanakimbia Israel wakati ni salama kwao kubaki Israel kuliko huko nje ya nchi? Sasa hivi serikali inarudisha raia wake walio nchi mbalimbali sababu ya kiusalama, wanakua targeted na watu wenye misimamo mkali
 
Kumekucha, nani alisema Iran kaishiwa drones na missiles?

Gt0KStnW4AAAOml

JUST IN: Islamic Revolutionary Guard Corps - IRGC Statement No. 13:The start of the 15th wave of Operation True Promise 3.A new phase of combined missile-drone attacks against military targets and industrial centers linked to the military industry in the cities of Haifa and "Tel Aviv" has begun.Today's drone operation, involving over 100 various types of combat and suicide drones, is ongoing against military targets, especially anti-missile defense systems, in Haifa and "Tel Aviv."An escalating trend and impact-driven missile operations against military targets and the military industry are a priority.
 
Mkuu tuna maanisha anga la Iran lipo UCHI

At anytime Zina ingia ndege zaidi ya 100 zinapiga zinapotaka na zinatoka salama salmini

Hatumaanishi Iran hawezi kufanya chochote ndani ya Iran

Iran bado ana struggle na ANGA la Israel kwasababu sio makombora yote yanatua na drone karibu zote zinaangushwa njiani...... vinginevyo Israel ingekua kama Gaza
Kama anga la Iran lingekua lipo uchi kiasi hicho madhara yangekua makubwa sana kwa hizo ndege 100+ zinazorushwa Kila wakati.
Pia ujue Iran inabidi avuke mifumo mingi ya ulinzi ili kufika Israel.
 
Iran wanahama mji sio nchi, ni kweli Israel raia wanakimbia wengine wanapanda boat kwenda Cyprusus, nauli mwanzoni kwa boat ilikuwa $20 hivi sasa ni $5000..
Hiyo taarifa ya Cyprus huenda hamkuielewa au sasa na nyie mliingia kwenye huo mtego mnaossmaga ni wa propaganda. Issue ilikua ni waisrael walioko Cyprus ndio walikua wanarudi kwao, nyie mkawekewa picha kuwa ndio wanakimbia kwao
Soma hii habari from Cyprus
Link and pic
Screenshot_20250619-182119_1.jpg


Link
 
Mkuu huwa mnaweza hisia sana mnapojadili hizi mada.

Unajua ni hatari kwa waisrael kuwa nje ya nchi yao kipindi hiki kuliko hata kuwa ndani ya Israel? Hivi unajua kuwa toka ile vita yao na hamas ianze mwaka Jana Israel ilisitisha kushiriki michuano mbalimbali ya michezo sababu ya kuwa targeted na watu wenye misimamo mikali?

Israel kwa sasa husaidia hata walio nje ya nchi warudi ndani sababu ndio salama kwao kuliko kuwa huko nje

View: https://youtu.be/5uj5YoVJTLU?si=cU1cVlGu3CJ7k4C8

Asaivi me naangalia hata post ya kureply coz hawa wengine humu wanajibu wanachojisikia kujibu
 
Mkuu huwa mnaweza hisia sana mnapojadili hizi mada.

Unajua ni hatari kwa waisrael kuwa nje ya nchi yao kipindi hiki kuliko hata kuwa ndani ya Israel? Hivi unajua kuwa toka ile vita yao na hamas ianze mwaka Jana Israel ilisitisha kushiriki michuano mbalimbali ya michezo sababu ya kuwa targeted na watu wenye misimamo mikali?

Israel kwa sasa husaidia hata walio nje ya nchi warudi ndani sababu ndio salama kwao kuliko kuwa huko nje

View: https://youtu.be/5uj5YoVJTLU?si=cU1cVlGu3CJ7k4C8

Mkuu unaleta habari za upande mmoja?
Unajua hao wanaorudi wanarudi kwasababu ipi?
Embu kachimbue habari zaidi.
 
Israeli afanye anavyofanya hizo ADs hasa za Iron dome zisimuishie na anga kuwa uchi....
Anga yake ikiwa overwhelmed tu ajiandae kupokea kipondo kibaya sana cha mvuza za Kamikaze drones ambazo Iran anazo nyingi sana aisee..

ADs za THAAD na Arrow system ni gharama sana inasemwa kombora moja kutoka THAAD na hiyo Arrow system ni zaidi ya $2m kwa maana hiyo ni very limited, Japo tayari USA ameongeza stock.
 
Wako pale strategically, naanza kuamini tafsiri ya Zionist na Jews, Zionist ni wahuni walitoka Ulaya kuja Israeli ila Jews wenyewe ndio natives wa mashariki ya kati ambao inaonekana hawakubaliani na hawa Zionist.
Inawezekana yuko pale middle east kwa makusudi maalum ya USA na washirika wake.
Kijeshi, kiuchumi, kiusalama au hata kiushawishi.
 
Israeli afanye anavyofanya hizo ADs hasa za Iron dome zisimuishie na anga kuwa uchi....
Anga yake ikiwa overwhelmed tu ajiandae kupokea kipondo kibaya sana cha mvuza za Kamikaze drones ambazo Iran anazo nyingi sana aisee..

ADs za THAAD na Arrow sting ni gharama sana inasemwa kombora moja kutoka THAAD na hiyo Arrom sting ni zaidi ya $2m kwa maana hiyo ni very limited, Japo tayari USA ameongeza stock.
Kwa usiku mmoja wanatumia USD 270
 
Back
Top Bottom