SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wameanza kuibiana Sasa

🇮🇷⚡️🇮🇱 Israeli TV channel reports thefts from Israeli homes after alarm sirens sound and people flee to shelters.

⚜️@TheSimurgh313
Kuna vichomi walikuwa wanasema kila raia wa Israel na mwanajeshi au commando, inashangaza leo wamegeuka vibaka waporaji.

Hawana tofauti na panya Road.
 
Iran,isiwe issue tukumbuke pia kwenye mgogoro huu Iran hataki kupigana analazimishwa na unyonge wake umefika kikomo heshimu mipaka yako na Mimi niheshimu yangu,na Israel aheshimu mipaka ya wengine,
😁😁😁

Wabongo ni wapumbafu sana aisee

Irani kalazimishwa kupigana???

Huu ni ujinga wa mchambuzi wa Iran kutoka Zakiem,

Iran ilikuwa ikiwasubiri tu Israel wajichanganye ili Iwafute, na huu ni mpango wa siku nyingi tu, kwa hiyo, hii hatuwezi kisema Iran kalazimishwa ilihali yeye alikuwa kakosa fursa za kumfuta Israel duniani, na hii kwake ndiyo haswaa fursa ya kutimiza ndoto zake za miaka mingi
 
Sasa kwa nini unamlaumu Iran? fursa ndio imekuja sasa wacha Israel akomeshwe.. viherehere vyote ya taifa teule kwishney
 
Dunia inagawanywa sasa. Mpaka ni mwisho Bosphorus Strait wale wa Magharibi wakae Magharibi na Sisi wa Mashariki tubaki huku huku.

View: https://x.com/GlobeEyeNews/status/1935559026298744949
Mpaka huu hapa:
1750322138817.png
 
Sasa kwa nini unamlaumu Iran? fursa ndio imekuja sasa wacha Israel akomeshwe.. viherehere vyote ya taifa teule kwishney
Iran ikamilishe mission zake, na muda ndio huu, siyo kusema inalazimishwa kupigana
 
😁😁😁

Wabongo ni wapumbafu sana aisee

Irani kalazimishwa kupigana???

Huu ni ujinga wa mchambuzi wa Iran kutoka Zakiem,

Iran ilikuwa ikiwasubiri tu Israel wajichanganye ili Iwafute, na huu ni mpango wa siku nyingi tu, kwa hiyo, hii hatuwezi kisema Iran kalazimishwa ilihali yeye alikuwa kakosa fursa za kumfuta Israel duniani, na hii kwake ndiyo haswaa fursa ya kutimiza ndoto zake za miaka mingi
Heri wabongo ni wapumbafu, wewe ni Mpumbavu
 
Mzee nimekuwambia usome Vita vya Iran na Iraq wewe unakuja kutuletea mambo ya Bush.
Ukisoma utaelewa kiundania zaidi. Maana vita hivyo vilipiganwa miaka Minane huku USA alikuwa akimsaidia Iraq. Russia wakati ule USSR ailikuwa kimya. Iran alipigana pekee yake huku akisaidiwa na China chini kwa chini.

Huku USA na Europe zilikuwa upande wa Sadam Husein. Baada ya vita kuisha 1988, Iraq ilikuwa na madeni makubwa sana.

Ndipo Sadam akadanganywa kuivamia Kuwait 1990 (Gulf Wa), Ndipo Marekan na washirika wake wajipenyesha. Hiyo ni baada ya Iraq kuchoshwa ile mbaya na Iran.

30 Desemba 2006 Sadam Husein alinyongwa.

Hiyo ni Historia fupi kuhusu Iran.

Iran aliwahi kuwagonga USA, Europe na Arabic countries kwa pamoja huku akisaidiwa kwa mbali sana na China
Just Imagine kwa sasa Iran yupo na Support kutoka Russia. Itakuwaje?

USA hawezi tia timu huko, anaijua Iran vilivyo.

NB: Kumbuka kabla ya mapinduzi matukufu ya Iran, Iran ilikuwa mshirika wa USA
😂 😂 Hizi stori ni kama zile za kwamba Hezbollah ni tishio Israel hawawezi.

Ndugu, mwanzo wa mzozo Iran alikuwa anarusha makombora 200 kwa mpigo, sasa hivi anarusha kwa kuvizia mawili au matatu, tena anarusha bila kujali lita piga wapi!

Israel saa hii yuko Iran anavinjari kwenye anga lake na muda wote anawinda hizo site za kurushia makombora na kuzilipua.

Kadiri siku zinavyozidi kwenda Iran atakuwa hoi hatakuwa hata na uwezo wa kurusha jiwe kwenda Israel.

Kingine Israel akimalizana na site za kijeshi huko Iran kianchofuata analipua hicho kinu cha nukes cha Fordow kisha anamalizana na Ayatollah alafu anawaacha wenyewe watajua wamuweke nani madarakani.

Nadhani unajua kilichotokea hapo Syria juzi kati.
 
Na hiyo vita ya Afghanistan lengo ni kumuweka mtu kati Iran. West walitaka waichukue Iraq halafu East waichukue Afghanistan ili wamuweka katikati Iran. Kumbuka huko Iraq na Afghanistan walikuwa wanapigana na Iran

View attachment 3375715

Walishindwa kumchapa Iran wakiwa karibu, sasa hivi wanataka wampige kutokea Israel. Kwikwikwikwi hivi ni vichekesho
Unamaanisha USA hawezi kumpiga Iran au
 
Israel inaweza kupigana na Hamas wasio na silaha, wasio na ndege vita hata moja na wasio na chakula.. hao ndio saizi yao ila sio Iran. Aibu kubwa hii kwa taifa teule
Kwani Iran ameshawashinda Israel kwa sababu tu ya kupiga hayo majengo ya umma?
 
Back
Top Bottom