100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hapana jamaa huwa anaongea uhalisia na kila anachoongea kinatokea...Wapinzani wa trump hawa
Hapana jamaa huwa anaongea uhalisia na kila anachoongea kinatokea...Wapinzani wa trump hawa
Kwenye vita na Hesbullah madege ya US yalikuwa yanashuka Ben Gulion kuongeza stock ya makombora KWA ajili ya Iron dome batteries ila hii ambayo ni hatari zaidi hatusikiiHii vita Israel hatoki, ndio maana Trump anapiga kelele kuingilia ugomvi, wapo katika sintofahamu, taarifa za kijasusi ni kwamba muda mchache ujao , Israel itashindwa kabisa kuzuia mapigo... halisi nzuri.. Iran inatambua hilo na ndio maana wanawachezea.. wanarusha missiles sometimes kuwamalizia interceptors Israel... makusudi.. lengo si kulipua..
Ndio maana irone dome wanasema zimechoka sasa..
Zikitokea taarifa za kiintelejensia kama hizo, Iran itailamba hio airport, tukumbuke kwamba kwa sasa hakuna mahala ambapo Iran inashindwa kutandika..Kwenye vita na Hesbullah madege ya US yalikuwa yanashuka Ben Gulion kuongeza stock ya makombora KWA ajili ya Iron dome batteries ila hii ambayo ni hatari zaidi hatusikii
Zitashusha na itakuwa aibu kubwa kwa USA.US anataka kutumia B-2 bomber ambazo zinaweza kubeba heavy bunke buster, lakini psipo hiyo ni kujisumbua...
Kibaya zaidi ili kurusha bunkr buster kama hio lazima uende usawa wa kinu cha nuclear.. zitapigwa hizo B-2..Zitashusha na itakuwa aibu kubwa kwa USA.
Kwikwikwikwi. Umri wako ni miaka mingapi? Aliyeondoa uongozi wa Iraq ni Iran. Soma vita Iraq na Iran. Utakuja kunishukuru baadaeKupindua uongozi uliopo, lazima watu wapoteze maisha na miundo mbinu ichakae; uongozi uliopo Iran utatolewa, haijalishi wanakufa wangapi au majengo mangapi yatapotezwa.
Rejea Iraq, Libya, Afghanistan n.k
Nimeshangaa sana mzee wa kazi.Aisee Iran ni noma..
Yaani interceptors zote hizo zimefeli kupiga missile...
Mossad wanakuambia 'All intercepted'Nimeshangaa sana mzee wa kazi.
Ni noma!
Rejea uongozi wa BushKwikwikwikwi. Umri wako ni miaka mingapi? Aliyeondoa uongozi wa Iraq ni Iran. Soma vita Iraq na Iran. Utakuja kunishukuru baadae
😂😂😂Mossad wanakuambia 'All intercepted'
Iran anaongelea past tense kuhusu kilichokuwepo underground,'palikua na mahandaki ya kigaidi'... maana yake hayapo tenaHivi wamefanikiwa kuibutua hio command center?
Walishusha ya kutoshaKwenye vita na Hesbullah madege ya US yalikuwa yanashuka Ben Gulion kuongeza stock ya makombora KWA ajili ya Iron dome batteries ila hii ambayo ni hatari zaidi hatusikii