SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

GtymsK8XUAAEXZD

Hawaamini wanachokiona..
 
Tusitoke nje mpaka tulifika chanzo Cha mgogoro huu Israel alianza Kwa kuua viongozi wa jeshi Iran akasema nitajibu kisasi Israel ameendelea na ukorofi Kwa kupiga maeneo mbambali kama hospitali,kituo Cha TV kituo Cha polisi kambi za jeshi,eneo la nyuklia bandari,vituo vya umeme n.k na Irani anachokifanya ni kulipa pale Israel anapopagusa Kwa hili la Leo la kuathilika hospital ya Israel kutokana na kipigo hata yy Israel amefanya hivyo Kwa Iran,isiwe issue tukumbuke pia kwenye mgogoro huu Iran hataki kupigana analazimishwa na unyonge wake umefika kikomo heshimu mipaka yako na Mimi niheshimu yangu,na Israel aheshimu mipaka ya wengine,Israel inachokifanya juu ya wapalestina hata shetani anaogopa Leo sehemu ndogo ya kile anachokifanya kinamkuta anaona anafanyiwa vibaya wapalestina wa Leo chakula maji,mavazihuduma za msingi hawana anaona sawa haohao america hawaoni hilo wakibanwa wanajitetea Israel Ina haki ya kujilinda juu ya Oct 7 tunarudi Tena mpaka tukio la chanzo Cha Oct 7 ni Nini unapata jibu chanzo ni mgogoro wa ardhi anayokalia kimabavu sasa ndio uue watu wake ni suala la muda tu Leo kifanywacho palestina ni maumivu yasiyotoka mioyoni mwao Kwa waliobaki wakauliwa ikapita miaka wapo walio nje ya palestina watarudi ilipo asili yao hivyo vita havitaisha,UN waliwahi kupendekeza ardhi igawanywe mara mbili na palestina kutambulika kama taifa Israel ilikataa na kuzidi kumega ardhi ya palestina,Kwa kinachoendelea sasa Kwa wapalestina ni furaha wakiambiwa chukueni Gaza yenu watakubali lkn watadai mpaka na ardhi iliyoporwa hivyo mgogoro hautafika mwisho chanzo ni ubaya wa Israel na washirika wake,acha tuangalie mwisho utafika.
 
Iran lazima uongozi ubadilike, ata wapigane vipi; ata Iraq, Libya, Afghanistan, Gaza n.k walipigana pia, na mwisho wa siku uongozi ukaondolewa.
Afghanistan Usa katumia Matrilioni ya hela, miaka 20, wanajeshi kibao kufa kureplace Taliban na Taliban,

Sasa hivi Taliban wana vifaa vya kisasa ambavyo hawajawahi hata kudream kuwa navyo ambavyo Usa kavitelekeza.
341469.jpg

Hio parade ya Taliban mwaka jana hawajatoa hata 500 kununua.

Huko Libya kwenyewe nako kushawashinda, Iraq walimtoa Sadam Raisi ambaye alikua ni puppet wa West miaka mingi na ana wa Checkpoint wairan, sasa hivi washamzawadia Iran Iraq.

Mambo sio marahisi kama unavyofkiria hasa hizi nchi ambazo zina Ethnicities kubwa.
 
View attachment 3375701

Lengo lilikuwa kumuua kiogozi mkuu, ata kwa Iran litafanikiwa hilo.
 
Wazee wa six days war, watoto wa Yakobo, wazee wa operation Entebbe.. wamekutana na waajemi waliovurugwa..
Tel Aviv inazidi kupendeza, US asipoingilia kati, Israel itatishia kutumia nuclear..

GtymsK3WEAAjkUF
Hiki ni kitu kidogo tu, ata hapo kwako ukirusha kibaruti patakuwa hivyo
 
Kuna jamaa wengine wanasema ndio zimerudi kuitungua h
Nimeshangaa sana mzee wa kazi.
Ni noma!

Exactly mfano mzuri jana usiku
View attachment 3375673
Iran kabomoa hio IDF C41, impact ya mabomu imekula hio Hospitali ya jeshi nayo, kinachooneshwa toka asubuhi ni hio Hospitali tu, hakuna picha ya hio base,

Sasa hivi huruhusiwi kutuma picha mpaka iwe reviewed ndio ioneshwe.
Kama Bongo tu kupiga picha ya mtu jeshini unaweza kupigwa Hadi nusu kufa vipi huko KWA watuvita.

Pia Bunge la Israel KWA haraka nasikia wameshapitisha Sheria KWA mtu yoyote kupiga picha chochote kinachorusha na Iran au MADHARA kwenye media. Hakuna fine ni kifungo kuanzia miezi 30.
Sasa zitakzorushwa ni za mamossad tu. Hii ndio unafanya hii vita iwe ngumu kucomment kuliko Russian SMO
 
Mzee nimekuwambia usome Vita vya Iran na Iraq wewe unakuja kutuletea mambo ya Bush.
Ukisoma utaelewa kiundania zaidi. Maana vita hivyo vilipiganwa miaka Minane huku USA alikuwa akimsaidia Iraq. Russia wakati ule USSR ailikuwa kimya. Iran alipigana pekee yake huku akisaidiwa na China chini kwa chini.

Huku USA na Europe zilikuwa upande wa Sadam Husein. Baada ya vita kuisha 1988, Iraq ilikuwa na madeni makubwa sana.

Ndipo Sadam akadanganywa kuivamia Kuwait 1990 (Gulf Wa), Ndipo Marekan na washirika wake wajipenyesha. Hiyo ni baada ya Iraq kuchoshwa ile mbaya na Iran.

30 Desemba 2006 Sadam Husein alinyongwa.

Hiyo ni Historia fupi kuhusu Iran.

Iran aliwahi kuwagonga USA, Europe na Arabic countries kwa pamoja huku akisaidiwa kwa mbali sana na China
Just Imagine kwa sasa Iran yupo na Support kutoka Russia. Itakuwaje?

USA hawezi tia timu huko, anaijua Iran vilivyo.

NB: Kumbuka kabla ya mapinduzi matukufu ya Iran, Iran ilikuwa mshirika wa USA
We unaleta historia za binadamu kuwa sokwe, wakati kuna video zinazo onyesha kukamatwa kwa Sadam ambayo ndio 'real fact'​
 
Iran pia wana bomb hospitali, je hospitali na vita vinahusiana nini? Yeyote anayetaka kukata roho mwili huwa unaangaika, wanachofanya Iran sasa ni kuhangaika tu, ia mwisho watajisalimisha na uongozi utabadilishwa.​
Hospitali ya jeshi
20250619_110004.jpg

Hakuna Hospitali ya kiraia ambayo inazungukwa na institute za jeshi kama hivyo.
 
Afghanistan Usa katumia Matrilioni ya hela, miaka 20, wanajeshi kibao kufa kureplace Taliban na Taliban,

Sasa hivi Taliban wana vifaa vya kisasa ambavyo hawajawahi hata kudream kuwa navyo ambavyo Usa kavitelekeza.
View attachment 3375701
Hio parade ya Taliban mwaka jana hawajatoa hata 500 kununua.

Huko Libya kwenyewe nako kushawashinda, Iraq walimtoa Sadam Raisi ambaye alikua ni puppet wa West miaka mingi na ana wa Checkpoint wairan, sasa hivi washamzawadia Iran Iraq.

Mambo sio marahisi kama unavyofkiria hasa hizi nchi ambazo zina Ethnicities kubwa.
Na hiyo vita ya Afghanistan lengo ni kumuweka mtu kati Iran. West walitaka waichukue Iraq halafu East waichukue Afghanistan ili wamuweka katikati Iran. Kumbuka huko Iraq na Afghanistan walikuwa wanapigana na Iran

1750321589824.png

Walishindwa kumchapa Iran wakiwa karibu, sasa hivi wanataka wampige kutokea Israel. Kwikwikwikwi hivi ni vichekesho
 
Back
Top Bottom