SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwenye huu uzi wa Iran wamejaa kujipa moyo utafikiri Israel inashindwa na Iran
Tumeshuhudia jinsi Netanyahu anavyombembeleza Trump kuiingiza USA katika hii vita.


View: https://x.com/Megatron_ron/status/1934660710753071404

Just imagine ingekuwa ni kinyume, yaani Ayatollah ndio angekuwa anambembeleza Putin saa hii ajiunge na jeshi la Iran kuwasaidia kuishambulia Israel.
Just imagine kauli ambazo wewe na wenzako mnaoichukia na kuibeza Iran mngezitoa.
Sema unachosema, ila hii vita ni ngumu sana kwa Israel.

Kama Netanyahu mwenyewe amekiri, wewe Mzayuni kutoka Matuga unawezaje kushupaza shingo na kukataa kuwa Israel hachapiki?


View: https://x.com/Megatron_ron/status/1935420814892871971
 
Iran ni adui mbaya sana jinsi unavyofikiri umeweza kumdhibiti ndo jinsi anakushushia kichapo ambacho kinakushangaza.

Juzi Israel imetoa report kuwa imeweza kudhibiti anga la Iran ila leo Iran wamerusha Missiles na wameenda kupiga Intelligence Base kubwa ya IDF C-41 na imechakaza hadi Hospital yao iliyojaza wanajeshi majeruhi
 
Mkuu mambo sio RAHISI kama mnavyofikiria au kutaka yawe

Unajua fika kabisa kwamba kwasasa anga la Iran kwakiasi kikubwa lipo chini ya Israel..... hataka kama ni silaha atazipitishia wapi? Si zitalipuliwa fasta tu zikitaka kuingia Iran

Au ulikua unataka Russia aanze kuishambulia Israel moja kwa moja wakati yeye mwenyewe yupo vitani na Ukraine na washirika wake wanampelekesha puta mwaka wangapi huu
Anga la Iran liko chini ya Israel, kwa hiyo hizo missiles zinazokwenda Tel Aviv na Haifa huwa zinarushwa au kutuhusiwa na Israel? Au hizo missiles hazipiti angani?
 
😁😁😁

Wabongo ni wapumbafu sana aisee

Irani kalazimishwa kupigana???

Huu ni ujinga wa mchambuzi wa Iran kutoka Zakiem,

Iran ilikuwa ikiwasubiri tu Israel wajichanganye ili Iwafute, na huu ni mpango wa siku nyingi tu, kwa hiyo, hii hatuwezi kisema Iran kalazimishwa ilihali yeye alikuwa kakosa fursa za kumfuta Israel duniani, na hii kwake ndiyo haswaa fursa ya kutimiza ndoto zake za miaka mingi
Siwezi kuwa mpumbavu sababu nafikiri,na sijashikiwa akili Wala siongozwi na mahaba na ninakiri ni Muislam japo ni wa jina na sipendezwi Kwa ubaya wowote unaofanywa na Iran au Israel au mwingine wa aina yoyote chini ya jua ni muumini wa amani,nirudi kwenye maneno yako ya Iran aliwahi kusema ataifuta Israel kwenye ramani ya Dunia nakili aliwahi kusema je ulishawahi kufuatilia sababu ni Nini mpaka aseme hivyo,narudia Tena je afanyacho Israel Kwa watu wa palestina ni sawa juu ya mipaka yao rejea ramani ya 1948
 
Tumeshuhudia jinsi Netanyahu anavyombembeleza Trump kuiingiza USA katika hii vita.


View: https://x.com/Megatron_ron/status/1934660710753071404

Just imagine ingekuwa ni kinyume, yaani Ayatollah ndio angekuwa anambembeleza Putin saa hii ajiunge na jeshi la Iran kuwasaidia kuishambulia Israel.
Just imagine kauli ambazo wewe na wenzako mnaoichukia na kuibeza Iran mngezitoa.
Sema unachosema, ila hii vita ni ngumu sana kwa Israel.

Kama Netanyahu mwenyewe amekiri, wewe Mzayuni kutoka Matuga unawezaje kushupaza shingo na kukataa kuwa Israel hachapiki?


View: https://x.com/Megatron_ron/status/1935420814892871971

Ugumu wake unatokea wali?

Israel anazurura angani kwa Iran apendavyo sasa ugumu uko wapi?

Ni ngumu sababu Iran anarusha makombora na kupiga majengo huko Israel?

Subiri uone mchezo watu wana mahesabu ya mbali ndugu
 
Halafu mnavyolazimisha Israel atoe taarifa lini Iran akatoa taarifa ya madhara ya makombora ya Israel ukiacha vifo vya wakuu wa majeshi, hata vituo vya nyukilia vilivyopigwa wapi umekuta Iran wametoa picha zake, jana na juzi Israel kutwa nzima kawatembezea kichapo wapi walipost picha au kukubali it's matter of time ila hii vita Israel anashinda na majengo yatajengwa, hata Los Angeles iliteketea kwa moto januari tu apo lakini sahivi majengo yanainuliwa, pesa si kitu kwa USA ila ye ni heshima na ushindi na Iran atakaa
Tutakuwepo 👉
 
😂 😂 Hizi stori ni kama zile za kwamba Hezbollah ni tishio Israel hawawezi.

Ndugu, mwanzo wa mzozo Iran alikuwa anarusha makombora 200 kwa mpigo, sasa hivi anarusha kwa kuvizia mawili au matatu, tena anarusha bila kujali lita piga wapi!

Israel saa hii yuko Iran anavinjari kwenye anga lake na muda wote anawinda hizo site za kurushia makombora na kuzilipua.

Kadiri siku zinavyozidi kwenda Iran atakuwa hoi hatakuwa hata na uwezo wa kurusha jiwe kwenda Israel.

Kingine Israel akimalizana na site za kijeshi huko Iran kianchofuata analipua hicho kinu cha nukes cha Fordow kisha anamalizana na Ayatollah alafu anawaacha wenyewe watajua wamuweke nani madarakani.

Nadhani unajua kilichotokea hapo Syria juzi kati.
Kaka nenda kaangalie movie za akina Tom Cruise (Edge of Tomorrow) ndio saizi yako. Kwangu wewe ni mchekea. Ni bora ukajitambua nafasi yako, au ufunge domo lako chafu uweze kuchimba madini bure hapa.
 
Ugumu wake unatokea wali?

Israel anazurura angani kwa Iran apendavyo sasa ugumu uko wapi?

Ni ngumu sababu Iran anarusha makombora na kupiga majengo huko Israel?

Subiri uone mchezo watu wana mahesabu ya mbali ndugu
Bado swali fikirishi hii anga ili chini ya Israel ni ipi na haya makombora yanapigwa Israel yanatokea kwenye anga ipi🤔
 
Kombora la Iran lilivyopiga ndani ya Tel Aviv asubuhi hii ya leo
20250619_114516.jpg
 
Anga la Iran liko chini ya Israel, kwa hiyo hizo missiles zinazokwenda Tel Aviv na Haifa huwa zinarushwa au kutuhusiwa na Israel? Au hizo missiles hazipiti angani?
Zile anazorusha Iran ni surface to surface missiles na sio air to surface, labda Iran angekuwa anarusha kwa kutumia ndege hilo swali lako ndio ungeliuliza ila halina mantiki
 
Back
Top Bottom