SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kaka nenda kaangalie movie za akina Tom Cruise (Edge of Tomorrow) ndio saizi yako. Kwangu wewe ni mchekea. Ni bora ukajitambua nafasi yako, au ufunge domo lako chafu uweze kuchimba madini bure hapa.
Hasira zote za nini sasa?

Kulikuwa na kelele humu eti Hezbollah siyo Hamas Israel hawezi kutia mguu! Ona sasa Hezbollah wako wapi wamsaidie baba yao Iran?

Israel imeliteka anga lote la Iran liko mikononi mwake alafu wewe unapiga porojo hapa wakati mwenye nchi mwenyewe Ayatollah yuko shimoni muda huu?

Wahurumieni wa Iran kidogo siyo mnakenua mimeno huku mmevimbirwa makande huko namtumbo
 
Na hiyo vita ya Afghanistan lengo ni kumuweka mtu kati Iran. West walitaka waichukue Iraq halafu East waichukue Afghanistan ili wamuweka katikati Iran. Kumbuka huko Iraq na Afghanistan walikuwa wanapigana na Iran

View attachment 3375715

Walishindwa kumchapa Iran wakiwa karibu, sasa hivi wanataka wampige kutokea Israel. Kwikwikwikwi hivi ni vichekesho

Shikamoo Iran just imagine umbali ulipo na kichapo kilichopo.. imagine kama wangekuwa karibu ingekuwaje

Hapo Israel inatumia Jordan na nchi za waarabu kuipiga Iran Iran ni moja kwa moja
 
Ugumu wake unatokea wali?

Israel anazurura angani kwa Iran apendavyo sasa ugumu uko wapi?

Ni ngumu sababu Iran anarusha makombora na kupiga majengo huko Israel?

Subiri uone mchezo watu wana mahesabu ya mbali ndugu
Acha kujitoa akili Broh!
Me nakufahamu kuwa wewe ni mmoja wa watu makini sana humu jukwaani, au unataka uniambie kuwa hiki kipigo anachopewa Israel kimevuruga hiyo grey matter katika fuvu lako!?
 
Hasira zote za nini sasa?

Kulikuwa na kelele humu eti Hezbollah siyo Hamas Israel hawezi kutia mguu! Ona sasa Hezbollah wako wapi wamsaidie baba yao Iran?

Israel imeliteka anga lote la Iran liko mikononi mwake alafu wewe unapiga porojo hapa wakati mwenye nchi mwenyewe Ayatollah tuko shimoni muda huu?

Wahurumieni wa Iran kidogo siyo mnakenua mimeno huku mmebimbirwa makande huko namtumbo
Kaka usitake tuanze kujibishana humu. Mimi sina muda wa kukujibu, mimi naweka taarifa na namna Wayahudi wanavyo uawa. Shida yangu ipo wapi kaka? Au unatafuta dume linalopanda? Bahati mbaya hizo siyo tabia zangu mimi kaka yangu.
 
Bado swali fikirishi hii anga ili chini ya Israel ni ipi na haya makombora yanapigwa Israel yanatokea kwenye anga ipi🤔
Huelewi nini sasa?

Kwa akili yako Iran bado ina uwezo wa kurusha makombora 200 kwa mpigo kama mwanzo?

Je Iran kwa sasa ina mfumo wa kutungua ndege hata moja au kombora lolote toka Israel au popote?
 
Swali, wagonjwa walikuwa ni wanajeshi?
Kukiwa na vita Mali zote za jeshi ni legitimate Target, huruhusiwi kupiga Hospitali ila Hospitali ikishatumika tu kwenye shughuli za jeshi inakua legitimate Target, Geneva convention kasome.

So walitakiwa civilian baada ya vita kuanza waondoke maeneo ya jeshi.
 
Kaka usitake tuanze kujibishana humu. Mimi sina muda wa kukujibu, mimi naweka taarifa na namna Wayahudi wanavyo uawa. Shida yangu ipo wapi kaka? Au unatafuta dume la linalopanda? Bahati mbaya hizo siyo tabia zangu mimi kaka yangu.
Nilijua tu lazima utafura.

Hata Hamas iliua watu zaidi ya 1,000 huko Israel. Hezbollah pia ilikuwa inarusha maroket kwenda Israel, Houth pia hivyo hivyo, je sasa hivi unawasikia?

Hiyo ni vita ya pande 2 ulitaka Israel isipate madhara hata kidogo?

Swali ni je madhara anayoleta Iran kwa Israel yanamsaidiaje?
 
Back
Top Bottom