Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Twende kwa akili zako wewe je wapi walisema ni lazima kwa siku warushe makombora 200 kila siku je una wapangia?Huelewi nini sasa?
Kwa akili yako Iran bado ina uwezo wa kurusha makombora 200 kwa mpigo kama mwanzo?
Je Iran kwa sasa ina mfumo wa kutungua ndege hata moja au kombora lolote toka Israel au popote?
Wanarusha machache yanaleta madhara warushe mengi kwanini?
Mpaka sasa bado tunaona ni maneno tu ya kua tuna miliki anga wakati bado irani ina uwezo wa kushambulia.