SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ayatollah amemtumia Netanyahu hiki kijitabu kama zawadi.

View attachment 3375625

Amemtumia ujumbe kwamba anatakiwa kukisoma akiwa amesimama.

Nadhani Netanyahu kuna muda anajisahau anakaa chini, ndio hiyo milio tunayoisikia huko Tel Aviv.

Daaaah, ila kina page kama 230 hivi, akijitahidi atakimaliza sio muda.
Israel wameshamaliza kazi, wairan wanashangilia
 
GtymsK8XUAAEXZD

Hawaamini wanachokiona..
Makombora ya Iran sijui yamewekwa sumu gani yani likitua jengo halitamaniki hata kuliangalia ukiliangalia tu unakata tamaa utasema limebomolewa miaka 20 iliyopita kumbe nusu saa tu
 
Too late hayo inabidi mnagundua mapema, yaani mtu anakuja nchini kwako hadi anajenga mahandaki we unazurura tu, huu ni muda wa kufigtht Israel tunaimezea mate😋 ile kinu ya fordow kuliko ata bichwa la Ayatoulah
Kaka kazi uliyoichagua ni ngumu sana. Hatujakuzuia kuweka post za kutoka kwa wayahudi. Sisi wayunani tumeamuwa kuwaangamiza wayahudi na pappets wao.
 
Hao mashoga wameshapata hasara kubwa Hadi Sasa kuwahi kutokea.

Ndani ya wiki 2 zijazo Israel itakuwa kama Gaza ,uzuri wa Iran ni Jinchi kuuubwa.

Kichapo kinachoendelea huko Israel ni balaa tupu.
Shoga anakuja kuua makamanda wako! Analipua maghala yako ya siraha, anaua wanasayansi, na amejiandaa kulipua kiwanda chako cha nukes, Analipua refineries za mafuta, ameteka anga lako,yani umelala yeye yuko juu ya anga lako anakumulika NANI shoga hapo?

Mwambie chura kiziwi ajiandae tunakuja, ushungi ule atauvua tu.
 
Kaka kazi uliyoichagua ni ngumu sana. Hatujakuzuia kuweka post za kutoka kwa wayahudi. Sisi wayunani tumeamuwa kuwaangamiza wayahudi na pappets wao.
Kazi iendelee IDF tupo mzigoni we follow account zetu official kwenye mitandao yote ya kijamii
 
Kituo cha television kilichopigwa na Israel ni military target? Mfumo wa majitaka uliopigwa na Israel ni military target? Je, hayo yanaipa ushindi Israel?
Ni propaganda tool, hata wananchi wa Iran hapendi program za hivyo station, any way tuongee mengine, Israel.ndyo wanamalizia kazi sasa, wananchi w.epewa VPN ili kuwasiliana na IDF.
 
Shoga anakuja kuua makamanda wako! Analipua maghala yako ya siraha, anaua wanasayansi, na amejiandaa kulipua kiwanda chako cha nukes, Analipua refineries za mafuta, ameteka anga lako,yani umelala yeye yuko juu ya anga lako anakumulika NANI shoga hapo?

Mwambie chura kiziwi ajiandae tunakuja, ushungi ule atauvua tu.
Wananchi wa Iran, wanashangilia na kuishukuru IDF, we mmawia unapata stress???
 
Back
Top Bottom