relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Haijawa total war Muiran angekuwa jirani kama tz na uganga au Kenya Israel hamuwezi Muiran ila acha tuongozwe na mahabaWayahudi wanarusha taulo
Haijawa total war Muiran angekuwa jirani kama tz na uganga au Kenya Israel hamuwezi Muiran ila acha tuongozwe na mahabaWayahudi wanarusha taulo
Kombora la Iran lilivyopiga ndani ya Tel Aviv asubuhi hii ya leo
View attachment 3375727
Tupo pamoja nae kwenye kutafuta haki yake lkn sijaelewa hiki kiburi anapata wapi.Iran ipo tayari muda wowote kushambulia kambi za marekani zilizopo middle East
View attachment 3375757
Boss kama unafuatilia huu Mgogoro wanajeshi wote wa Israel wanatibiwa hapo wakiumia Gaza, ipo eneo Base ya IDF na pia imezungukwa na majengo ya IDF.Una uhakika gani kama zinamilikiwa na jeshi?
Hali ilivyokua nkwenye hospital ya soroka baada ya Iran kushusha kombora
View: https://x.com/Osint613/status/1935562111175803297?t=Ya1iaelxT2h6vlx9cd6xkw&s=19
Ni kweli Israel ameoiga milliary centers nyingi na facilities nyingi amezipiga so far lakini hawezi kuwa kazipiga na kuzimaliza zote. Itachukua muda kuzimaliza zoteWanasema israel analipua maeneo ya kijesh na kuangamiza makombora ya irani. Haya yanatoka wapi tena?
Video footage. Iran ilirusha makombora makali ndani ya tel Aviv asubuhi hivi na yameleta madhara
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935605961659445469?t=TeWyrCyJssdiKbA0wcCIxQ&s=19
Moshi ukiendelea kufuka kwenye hospity ya soroka iliyoshambuliwa asubuhi hii na makombora ya Iran
View: https://x.com/Osint613/status/1935621683479450020?t=zJRXlO4NCBImg8z4DpgGAw&s=19
Kombora lolote likipita lazima iwe hivyoHuyu Iran ni hatari sana na hapa hana Nuclear ila akishusha kombora hadi jengo lililokua umbali wa mita 20 kutoka eneo la tukio lazima litikisike na kupasuka vioo
Kazi ya IDF ya kuwakomboa waIran inakaribia kukamilika ndani ya masaa24, OP Rising Lion🦁 ni level nyingine ktk historia
Hapana lile lilikua miscalculated, taarifa zinasema lilienda kuanguka CataloniaHii ndio ile kombora lililo enda nje ya space kupunga upepo kwanza kabla halijashuka? Maana kwa.madhara hayo ni balaa
Kazi ya IDF ya kuwakomboa waIran inakaribia kukamilika ndani ya masaa24, OP Rising Lion🦁 ni level nyingine ktk historia