City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Raisi wa Israel muda huu anasema kotendo Cha Iran kushambulia hispit kwa makombora ni uhalifu wa kivita, anasema pia Iran wajiandae kulipia kwa hilo
Geneva watenda kujadili the way foward, Ayatollah ali cross red line, Arab world wanashangilia ushindi wa IDFHapa pwagu na pwaguzi wamekutana hakuna vita hapa soon wanakutana Geneva
🤣🤣 si juzi tu wao wametoka kupiga hospital hapo Iran, hakika mkuki kwa nguruweRaisi wa Israel muda huu anasema kotendo Cha Iran kushambulia hispit kwa makombora ni uhalifu wa kivita, anasema pia Iran wajiandae kulipia kwa hilo
Tangu juzi mnasema Israel anazunguka kwenye anga la Iran atakavyo mbona hizo Missiles zinarushwa kutoka Iran na zinaenda kuichakaza Israel kwanini wasiripue hiyo mizinga inayorusha makombora ili Israel iwe salama?Ugumu wake unatokea wali?
Israel anazurura angani kwa Iran apendavyo sasa ugumu uko wapi?
Ni ngumu sababu Iran anarusha makombora na kupiga majengo huko Israel?
Subiri uone mchezo watu wana mahesabu ya mbali ndugu
Walipiga hospital ndani ya Iran? Sikumbuki🤣🤣 si juzi tu wao wametoka kupiga hospital hapo Iran, hakika mkuki kwa nguruwe
😂 😂 Mtu akiteka anga lako huwezi kurusha makombora?..Tangu juzi mnasema Israel anazunguka kwenye anga la Iran atakavyo mbona hizo Missiles zinarushwa kutoka Iran na zinaenda kuichakaza Israel kwanini wasiripue hiyo mizinga inayorusha makombora ili Israel iwe salama?
Safi Israel naye ashambulie hospital ili vita iwe kubwa zaidi hakuna kupoa mpka macho yawe kama wachinaRaisi wa Israel muda huu anasema kotendo Cha Iran kushambulia hispit kwa makombora ni uhalifu wa kivita, anasema pia Iran wajiandae kulipia kwa hilo
Muda huu waziri wa ulinzi wa Israel anasema Ayat Khamenei hapaswi tena kuishi.
Khamenei na Iran waongeze ulinzi, Israel wameamua watamuua. Tusubiri
View: https://x.com/clashreport/status/1935633794469445783?t=iIoDeOKocWXmcilcZwHMEw&s=19
Wao walichofanya Gaza hawaoni?Raisi wa Israel muda huu anasema kotendo Cha Iran kushambulia hispit kwa makombora ni uhalifu wa kivita, anasema pia Iran wajiandae kulipia kwa hilo
Mambo magumu..Netanyahu na waziri wake wa ulinzi wamewaambia jeshi kuzidisha mashambulizi huko Iran,
Vita hiizi sio rahisi hivyo mkuu maana hapo na wewe utakua unatoa sadaka raia wako. Wewe utapiga raia huko tel Aviv, nao kumbuka wanaruka na ndege za kivita muda wowote wanazunguka hapo Tehran, wakiamua washushe makombora kila walipo raia basi itakua ni maafaSafi sana Iran..
Israel huwa ikipiga raia wanakuambia tulikuwa tunalenga magaidi karibu na kambi fulani ya wakimbizi..
Sasa Iran kaweka mzigo jirani na hospital aakijua fika wagonjwa nao wana haki ya kusikia utamu wa operation true promise 3.. Iran wanasema hawakuwa na lengo la kupiga hospital...
Iran kwa ushenzi huu muda hapo walipo wanajitia kuokoa watu aweke mzigo mwingine jirani na hio hospital ili heshima iwepo...
Mi naona kama Ian inapiga kwa huruma, yaani mimi ndiye ningekuwa kiongozi wa hii opeartion true promise 3, hapo natoa taarifa raia ingieni kwenye bunker, waandishi wa habari tokeni, naweka mizigo kama mitatu hivi....
Ayatollah anaharibu sana... hapo aache udini sijui na ustaarabu hawa magaidi wa kiyahudi lugha wanayoilewa ni mkong'oto tu..
mbona Jana Israel walishambulia pia aache kulalamika apige hospital pia.Raisi wa Israel muda huu anasema kotendo Cha Iran kushambulia hispit kwa makombora ni uhalifu wa kivita, anasema pia Iran wajiandae kulipia kwa hilo