SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Soroka hospital leo kabla ya kushambuliwa kwa makombora ya Iran asubuhi
20250619_130612.jpg
 
Mpaka katikati ya mwezi July hii vita itakuwa imeisha na Iran itakuwa imeshaanguka.
Kama wakiendelea kwa Kasi hii ya kawaida. Wakizidisha Kasi. Mwezi huu hauishi Ayatollah atakuwa ameuawa
Achana na media propaganda...
Utawala wa Iran kuanguka ni mpaka boots zikanyage ardhi ya Iran.. IDF, US na EU.. na hapo hawashindi..

Usijidanganye Iran inaanguka, hii vita ipo katika stage ya kurushiana makombora..

Israel imeshindwa kuicontrol Gaza itaweza Iran? ilishindwa kuingia Lebanon licha ya kuwa na air superiority itaiweza Iran..

Labda nikuambie tu Iran bado ina stock ya kutosha, kama siku kadhaa tu Israel imeharibiwa hivyo, tegemea baada ya mwezi Israel hasa Tel Aviv baadhi ya mitaa hutoweza kutofautisha na Gaza...
 
Waisrael huwa ni watata na wabishi sana, hivyo naona kabisa hauitakua rahisi kwa Iran. Kwa nature ya waisrael walivyo, watatumia kila aina ya njia kushinda. Huwa hawakubaligi kushindwa. Ngoja tusubiri, maana hata wairan nao ni wabishi mno
 
Achana na media propaganda...
Utawala wa Iran kuanguka ni mpaka boots zikanyage ardhi ya Iran.. IDF, US na EU.. na hapo hawashindi..

Usijidanganye Iran inaanguka, hii vita ipo katika stage ya kurushiana makombora..

Israel imeshindwa kuicontrol Gaza itaweza Iran? ilishindwa kuingia Lebanon licha ya kuwa na air superiority itaiweza Iran..

Labda nikuambie tu Iran bado ina stock ya kutosha, kama siku kadhaa tu Israel imeharibiwa hivyo, tegemea baada ya mwezi Israel hasa Tel Aviv baadhi ya mitaa hutoweza kutofautisha na Gaza...

Mkuu, July sio Mbali.

Gaza ipi Mkuu,
Mpaka July Iran akishashindwa utaona Gaza IPO Chini ya udhibiti wa Nani.

Iran apongezwe kwa kujitetea lakini kusema atatoboa ni kutokufikiri vizuri.
 
Wazee wa six days war, watoto wa Yakobo, wazee wa operation Entebbe.. wamekutana na waajemi waliovurugwa..
Tel Aviv inazidi kupendeza, US asipoingilia kati, Israel itatishia kutumia nuclear..

GtymsK3WEAAjkUF
Ndio tunapoelekea mkuu wiki haishi tutaanza kuona vikao UN kuomba msaada maana mfadhili wake na yeye anaogopa kuingilia wazi wazi maana ametoa msaada Ukraine sasa ni wakati wa wapinzani wake kumpa msaada Iran kuishambulia Marekani
 
Journalists wao wanasema walikadiria vibaya. Hasa KITU cha Leo asubuhi hakukuwa cha kawaida. Imebidi kaka mkubwa US alazimike kuingilia kati kuokoa jahazi
Kuna wafu wengi sana hapo 'hospital'..siyo kwa kelele hizi
Kwa nini kama US anaogopa Kambi zake zisipige huko uarabuni wakati anasema yeye anabest air defence systems ?
Hizo air defences za israel ni za USA
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-19-13-03-01-812.jpg
    Screenshot_2025-06-19-13-03-01-812.jpg
    259.4 KB · Views: 23
Hili shambulio la leo kwenye hospital limewauma sana Israel, hakika wameusikia uchungu. Tusubiri
Kwa ubishi wa Hawa jamaa. Tutegemee makubwa sijui KWA nini Hadi Sasa hivi hawjatumia nyuklia kama wanazo. Wakiishiwa option hawaogopi maana hakuna mtu wa kuwafanya chochote hata wachome nchi nzima ya Iran. Wanabackup ya wanaomiliki dunia. Ndio maana papa kauchuna.
 
Ndio tunapoelekea mkuu wiki haishi tutaanza kuona vikao UN kuomba msaada maana mfadhili wake na yeye anaogopa kuingilia wazi wazi maana ametoa msaada Ukraine sasa ni wakati wa wapinzani wake kumpa msaada Iran kuishambulia Marekani
Na katika hilo, China itatoa msaada wa hali na mali... itakua opportunity kwao, provided kwamba haziivina Trump..
 
Back
Top Bottom