SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwa mtazamo wa halaka.unafikili huyu jamaa wa kulia anaongea nin moyoni
20250619_134501.jpg
 
Huwa inanishangaza sana, Israeli akipiga hospitali pale Gaza husema Hamas wanajificha humo na wote tunamkubalia.

Iran akisema target sio ile hospitali bali target ni maeneo muhimu ya kijeshi yaliyozunguka hospitali na kilichotokea ni shock waves tu za explosion.

Lakini kipindi hiki kama karibu ya hospitali kuna military targets kwanini wagonjwa wasiwe evacuated maeneo ambayo hayako karibu na military targets?

Ilikuwa sawa Israeli kushambulia kile kituo cha redio cha kiraia, ilikuwa sawa Israeli kuhack internet inayotumiwa na raia na mifumo ya kibank?

Dunia kuna mahala inamsema Israeli anapoua wapalestina ambao ni raia wa kawaida.
 
Endelea kuleta mediocre sources.
Wananchi wa Iran, wanashangilia kupata uhuru wao, we mmatumbi wa Tanganyika unajitesa kwa makasiriko:DESKCHAN:

 
Back
Top Bottom