Mihadarati inaharibu kichwa sana.Mpaka katikati ya mwezi July hii vita itakuwa imeisha na Iran itakuwa imeshaanguka.
Kama wakiendelea kwa Kasi hii ya kawaida. Wakizidisha Kasi. Mwezi huu hauishi Ayatollah atakuwa ameuawa

Wakadhani wamemaliza vita..Unaua seniors Wana miaka 60+ na unaona unashinda, wayahudi hawafikiri sawasawa
Russia imesema ipo tayari kuwapa isaada ya kibinadamu wairan
View: https://x.com/Osint613/status/1935655844085182879?t=bV8Pug-hmVKlwSJZqUDdHg&s=19
Makombora ya Iran yaliyoshambulia le Israel inesemekana huenda ni cluster bombs, sababu baada ya mlipuko kulikua na vibomu vingine vidogo vilivyosambaa
View attachment 3375838
Russia imesema ipo tayari kuwapa isaada ya kibinadamu wairan
View: https://x.com/Osint613/status/1935655844085182879?t=bV8Pug-hmVKlwSJZqUDdHg&s=19
Mkuu wewe ni mtaalamu wa makombora?? Maana wataalamu huko ndio wanasema huenda Ni cluster bombHahaha sababu zinatafutwa...
hizo ni zile decoy kufool the ADS, hizo zinaweza kutumwa hata miambili kama vile vidrones.
Can be ana attachment to the mother ship ( like a launcher) vikifika say Tel aviv vina achia na kusambaa, kinaweza hata kisilipuke kikifika chini.
Sio mtaa mzima. Unaongeza chumviHivi Iran imepiga kombora gani hapo, mbona limechafua mtaa mzima aisee?
Hilo ni kombora la aina gani lina nguvu kiasi hiki?
Mtaa mzima hujafuatilia..Sio mtaa mzima. Unaongeza chumvi
Video footage; kombora la Iran lilivyotua Leo tel Aviv Israel. Ona jinsi lilivyopiga jinsi lilivyo na nguvu
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935657429225669023?t=sJFw9FQz2YU_pBlA8Q6ZeQ&s=19