SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Vita hiizi sio rahisi hivyo mkuu maana hapo na wewe utakua unatoa sadaka raia wako. Wewe utapiga raia huko tel Aviv, nao kumbuka wanaruka na ndege za kivita muda wowote wanazunguka hapo Tehran, wakiamua washushe makombora kila walipo raia basi itakua ni maafa

Vita sio rahisi hivyo
Israel hawezi kuvumilia raia wake watandikwe...
Wakianza kupigwa raia watarudi nyuma...
 
Huelewi nini sasa?

Kwa akili yako Iran bado ina uwezo wa kurusha makombora 200 kwa mpigo kama mwanzo?

Je Iran kwa sasa ina mfumo wa kutungua ndege hata moja au kombora lolote toka Israel au popote?
Bro maswali yako unayouliza ni kama umefufuka kutoka kaburini sasa hivi kwahiyo hujui chochote kinachoendelea, yani unauliza Iran ina mfumo gani wa kutungua ndege wakati jana tu wameonyesha video wakiitungua Hermes 900 Drone ya Iran na wakairecord kwanzia ikiwa angani hadi imetua chini, we uko wapi hupati hizi taarifa?
 
Mpaka katikati ya mwezi July hii vita itakuwa imeisha na Iran itakuwa imeshaanguka.
Kama wakiendelea kwa Kasi hii ya kawaida. Wakizidisha Kasi. Mwezi huu hauishi Ayatollah atakuwa ameuawa
Ayatollah ameshafika Moscow kwa Putin, ana mzigo wa USD110 bln
 
Anga la Iran liko chini ya Israel, kwa hiyo hizo missiles zinazokwenda Tel Aviv na Haifa huwa zinarushwa au kutuhusiwa na Israel? Au hizo missiles hazipiti angani?
Mkuu hata anga la Gaza lipo chini ya Israel ila Hamas wanaweza kurusha maroketi yao

Roketi ni habari nyingine mkuu
 
Wanasema israel analipua maeneo ya kijesh na kuangamiza makombora ya irani. Haya yanatoka wapi tena?
Journalists wao wanasema walikadiria vibaya. Hasa KITU cha Leo asubuhi hakukuwa cha kawaida. Imebidi kaka mkubwa US alazimike kuingilia kati kuokoa jahazi
 
Back
Top Bottom