Iran
Pembeni ya hospitali ya Soroka kulikuwa na Intelligence base kubwa ya Jeshi la Israel na tumewachakaza wote.
C4ISR system, Digital Command Infrastructure na Cyber operations command center zote zimegeuzwa majibu zikiwa na maelfu ya wanajeshi.
Hizi Intel taifa chovu kama Iran inazipata wapi? Wanadai kilio cha Hospital ni kutaka kuhamisha mada.View attachment 3375647
Naona kwa chini kuna vifaru, wamefanikiwa kupageuza Gaza hapo?Hapana hio ni target iliyokusudiwa
Kama inauma vaa uendeYaani humu kuna watu wa ajabu,unavurumisha missile 50 inayohit target ni moja tena kwenye residential areas inajeruhi watu then unajisifu. Hapo hapo mwenzako anakupiga sehemu nyeti za jeshi lako.
Iran yashambulia Hospitali ya Soroka huko Israel
View: https://x.com/mossadil/status/1935556932062032139?s=61
Vita haina mwezi lakini Israel imechakaa vibaya, ikifika miezi miei miwili itakuwa Gaza..
Mbona hadi sasa US kashaingia vitani silaha nyingi wanazotumia Israel na mifumo ya ulinzi kama Thaad na Arrow 3 ni mifumo ya marekani, ila Iran anaitandika Israel hivyo hivyo, USA alichokiona ni kuwa Israel anaenda kuzidiwa kwahiyo na yeye anataka aokoe jahazi.Us akiingia vitan ujue iran ni mshindi kwa Israel
Wacha wapambane wenyewe tuone mwisho wao
Hakuna nuclear facility ya Iran iliyoshambuliwa picha za satellite zinazonyesha iko salama, na kufikika kwake ni ngumu ndo maana USA anataka aingie na yeye kujaribu ila Israel kashindwa, unatuma drone ikashambulie Nuclear facilities utawezea wapi? Drones za Israel zimeishia kutunguliwaKumsaidiaje huko kwa hasara Iran inayopata. Nuclear facillites zilizojengwa kwa miaka mingi na kwa gharama kubwa zinaharibiwa useme anamsaidia? Vinu vya kuzalishia mafuta vinapigwa vinaharibiwa wao hawaoni? Au mpaka ifikie kuwa kama gaza au Aleppo ndio aingie. USA na west na NATO wanamsaidia Ukraine tangu kombora la kwanza lilipopigwa pale kiev. Na hawafanyi siri. Wanatangaza kabisa na aina ya msaada anaotoa. Hata askari mamluki wanaopigana upande wa ukraine wao ndio wanawalipa. Kubali kataa. BRICS ni kwa ajili ya issue za uchumi sio kwenye issue za ulinzi na usalama.
Hivi wamefanikiwa kuibutua hio command center?Chini ya hiyo hospital wateule Wana army command center
Ila Hadi Sasa Iran akishindwa NDIYE aliyeonyesha uwezo mkubwa wa Kijeshi.Vita haina mwezi lakini Israel imechakaa vibaya, ikifika miezi miei miwili itakuwa Gaza..
US anataka kutumia B-2 bomber ambazo zinaweza kubeba heavy bunke buster, lakini psipo hiyo ni kujisumbua...Hakuna nuclear facility ya Iran iliyoshambuliwa picha za satellite zinazonyesha iko salama, na kufikika kwake ni ngumu ndo maana USA anataka aingie na yeye kujaribu ila Israel kashindwa, unatuma drone ikashambulie Nuclear facilities utawezea wapi? Drones za Israel zimeishia kutunguliwa
Iran is out of control. Utadhani Iran iliifuata Israel huko kwao, kumbe Israel wao ndio walianzisha
Wapinzani wa trump hawaHuyo anaongea ni former United States Marine Corps intelligence officer...
Anadhihirisha Israel itakuwa defeated...
Ila kuna misukule humu ni ubishi mwanzo mwisho..
View attachment 3375645
Hii vita Israel hatoki, ndio maana Trump anapiga kelele kuingilia ugomvi, wapo katika sintofahamu, taarifa za kijasusi ni kwamba muda mchache ujao , Israel itashindwa kabisa kuzuia mapigo... halisi nzuri.. Iran inatambua hilo na ndio maana wanawachezea.. wanarusha missiles sometimes kuwamalizia interceptors Israel... makusudi.. lengo si kulipua..Ila Hadi Sasa Iran akishindwa NDIYE aliyeonyesha uwezo mkubwa wa Kijeshi.
Mtu unarusha bomu 2000 kilometer kwenda kulenga kasehemu kadogo huko bila kukosea target ni tofauti na ndege kupata nakushambulia eneo ambalo linaonekana.
Hawa jamaa wangeachwa bila vikwazo wangetisha. Ndio maana mababu ZAO wakina Koreshi au Cyrus walitawala middle east yote