SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Turudi kule tu jukwaa la siasa tukambane na CCM, haya hayatuhusu hahahaha
Yaani humu kuna watu wa ajabu,unavurumisha missile 50 inayohit target ni moja tena kwenye residential areas inajeruhi watu then unajisifu. Hapo hapo mwenzako anakupiga sehemu nyeti za jeshi lako.
 
Iran
Pembeni ya hospitali ya Soroka kulikuwa na Intelligence base kubwa ya Jeshi la Israel na tumewachakaza wote.
C4ISR system, Digital Command Infrastructure na Cyber operations command center zote zimegeuzwa majivu zikiwa na maelfu ya wanajeshi.

Hizi Intel taifa chovu kama Iran inazipata wapi? Wanadai kilio cha Hospital ni kutaka kuhamisha mada.
Screenshot_20250619-101144.png
 
Nililiona mapema, ile haikuwa direct hit.

Kuna kitu kilikuwa targeted sio hiyo hospitali, imekutwa tu na waves hiyo.
Netanyahu anajiona mjanja. Jiulize kwa nini ameamua kuachia picha na video wakati ameweka vikwazo lukuki na sheria kali kwa yeyote yule atakayechapisha habari au kusambaza video ya maeneo ya Israeli yaliyoshambuliwa na Iran?

Jibu ni kwamba amefanya hivyo makusudi ili kupata huruma ya jumuiya ya kimataifa na ili kumlazimisha USA 🇺🇸 aingie kumsaidia vita vyake.

Awali alikuwa anatumia raia wa USA kama ngao, bahati mbaya USA wamefanikisha kuhamisha raia wake nchini Israel, sijui atakuja na mbinu gani kwa maana haishiwi yule.
 
Kwa mujibu wa Washington posts, Wayahudi mifumo yao ya ulinzi imezidiwa na inauwezo wa kuendelea kuintercept mabomu kutoka Iran kwa siku kumi, ndani ya wiki mbili zijazo kama hawajapata supply ya silaha au US kuingilia kati basi hali itakuwa mbaya.

Source: Times of India YT.
Watu wengine mnabwabwaja tu eti Kwa mjibu wa “Washington posts” bila kuweka chanzo hicho unaonekana ni UHARO tu!!!!
 
Yaani humu kuna watu wa ajabu,unavurumisha missile 50 inayohit target ni moja tena kwenye residential areas inajeruhi watu then unajisifu. Hapo hapo mwenzako anakupiga sehemu nyeti za jeshi lako.

Huwezi kupata clear information sasa hivi kwenye hii vita, propaganda ni nyingi sana kutoka pande zote.

Tutulie tusubiri mwisho wake.
 
Back
Top Bottom