SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huyu balozi wa Israeli kwenye baraza la umoja wa mataifa anashangaza kweli. Juzi alisema hawaombi kibali cha kuishambulia Iran bali wanatoa taarifa tu. Leo kaja na haya

Screenshot_20250619-095406.jpg
 
West ni wazuri sana mtandaoni 😅😅tujikumbushe javelin au HIMARS pale ukraine hata Trump ukiangalia ana promote zaidi siraha za US wala hampi israel point 3 ,always Trump ana taka US ionekane ni invisible but ni invisible only to the fools
 
..and this is the beginning of the end of IRANIAN regime

View: https://youtu.be/92Z0mOZnULU?t=5

Inasaidia nini wakai kila siku wanapigwa hypersonic... ndege 4 za F-35 zimepigwa halafu unasema una control anga, yaani ndege ambazo wanadai ni advanced zaidi zinapigwa...

Ndege za IDF inaingia anga la Iran kwa kuibia sana na wanarusha guided missiles...

Israel itazidi kupigwa hadi US iingie kati..
 
Huyu balozi wa Israeli kwenye baraza la umoja wa mataifa anashangaza kweli. Juzi alisema hawaombi kibali cha kuishambulia Iran bali wanatoa taarifa tu. Leo kaja na haya

View attachment 3375639
Eti grave violation of International Law....hahahaaa my foot.. kule Gaza je? KARMA IS REAL ndugu zangu

What goes around comes around. They have to get the actual feelings of the Palestinians
 
Back
Top Bottom