100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Huyo mjinga myahudi anaongea utumbo, Netanyahu alishakimbia Greece akarudi kwa aibu..
Siyo hivyo tuu, Israel amepiga red crescent head office ambayo ni makao makuu ya shirika la huduma ya kwanza kama red cross.Sijui unangea kitu gni, maeneo ya jeshi IDF hawatoi picha, hakuna mahala Iran imepiga kama maeneo ya jeshi, kumbuka hypersonic haizuiliki ....
Israel inapiga hadi vituo vya habari, hospital n.k, ndio maana Iran inapiga hospital pia, Iran imepiga kila maeneo ya jeshi unayojua na vyuma vinafika..
Sawa! Lakini haiondoe picha kwamba hayo si maeneo ya kijeshi na ya kiintelijensia.Office za jeshi zinajulikana.
We kwa akili yako ikitokea vita hata hapa Tanzania unafikili raisi atakaa ikulu??
Au mkuu wa majeshi watakaa officine kwao kuendesha vita.?
Huwa wanahamaga hayo maeneo.
Hata Israel na iran ndo hivyo. Wote hawapo kwenye office zao zinazojulikana.
Au unafikili Israel wakipogia kwenye nyumba ya ayatollah au office yake ndo watamapata?
Israel alipiga hospital Iran na hilal nyekundu(red crescent/red cross),alipiga media mpaka mtangazaji wa tv akakimbia wengine wakauawa,so tulienidesperate times calls for desperate measures😀
Mkuu mambo sio RAHISI kama mnavyofikiria au kutaka yaweKumsaidiaje huko kwa hasara Iran inayopata. Nuclear facillites zilizojengwa kwa miaka mingi na kwa gharama kubwa zinaharibiwa useme anamsaidia? Vinu vya kuzalishia mafuta vinapigwa vinaharibiwa wao hawaoni? Au mpaka ifikie kuwa kama gaza au Aleppo ndio aingie. USA na west na NATO wanamsaidia Ukraine tangu kombora la kwanza lilipopigwa pale kiev. Na hawafanyi siri. Wanatangaza kabisa na aina ya msaada anaotoa. Hata askari mamluki wanaopigana upande wa ukraine wao ndio wanawalipa. Kubali kataa. BRICS ni kwa ajili ya issue za uchumi sio kwenye issue za ulinzi na usalama.
Amen!!!Iran piga ua garagaza !!
Hiyo hospital imeharibiwa na upepo wa kombora lililolipua kitu jirani na hapoNaweza kusema hayo majengo madirisha yake ni kama yameharibika, hii ina maana shockwave ya missile lililotua hayo maeneo si mchezo.. au labda ndio lile dude jana lilipotea angani limeamua kushuka alfajiri.. 😂
Vipi, Iran wamerusha!?Hizo non military targets?
Anga la Israel lipo chini ya Iran.. ndio maana missiles zinaingia kama kawaida..Mkuu mambo sio RAHISI kama mnavyofikiria au kutaka yawe
Unajua fika kabisa kwamba kwasasa anga la Iran kwakiasi kikubwa lipo chini ya Israel..... hataka kama ni silaha atazipitishia wapi? Si zitalipuliwa fasta tu zikitaka kuingia Iran
Au ulikua unataka Russia aanze kuishambulia Israel moja kwa moja wakati yeye mwenyewe yupo vitani na Ukraine na washirika wake wanampelekesha puta mwaka wangapi huu
Target haikua hospital na wao wamesema ilikua tunnels katka jengo la pembeni ambao ni intelligence services na wameliporomosh lote na madhira yamefika hadi Soroka, Hata angelipangusa ni sawa IDF wamebomb hospital zote Gaza iweje wao waumie? Yaani mkuki Kwa nguruweWameshambulia au wameipunyua tu, hawa wa iran nao washaanza kunikera ngoja nikatagute marejesho tu 😏
Iran yashambulia Hospitali ya Soroka huko Israel
View: https://x.com/mossadil/status/1935556932062032139?s=61
Hapa umeandika uongo kaka. Huenda wewe haupo Tanzania. x.com inafunguka kama kawa.Mkuu ukitaka kupost habari za Twita aka X usiweke link maana huku bongo X imepigwa pini hatuoni kitu
Labda upost screenshot