SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

******** Russia na Putin kama hawajui kinachoendelea hapo mashariki ya kati. Kinachoendelea huko Iran ni ujumbe kwa russia. Kwamba hata yeye ni swala la muda tu. Kitamkuta kilichokuta mshirika wake wa karibu iran. Israel imezipiga na kuzichakaza gaza, Lebanon kule beirut, Sanaa pale Yemen. Sasa Teheran inaenda kuwa gaza mpya. Jumuiya za kimataifa haswa zile nchi kubwa zenye uchumi zinamuunga mkono israel kwa ushetani wanaofanya. Russia imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani uvamizi na mashambulio yanayoendelea kuvurumishwa kwenye miji ya iran.

Russia kaingia kwenye mzozo na Ukrane ambaye kwa % nyingi ni ndugu amekumbana na vikwazo vikali ambavyo hakuna nchi iliyowahi kuwekewa tangu kuumbwa kwa hii dunia. Mpaka FIFA, na UEFA na wale wanaoanda mashindano ya Olyimpiki nao wameiwekea vikwazo vya michezo Russia.
Hivi kazi ya umoja wa maifa UN ni nini? Yaani Israel inaruhusiwa kufanya ushetani na dunia nzima inaangalia bila kuchukuwa hatua ya kuzuia!!
Kama kuna jumuiya ambaya ni ya kimbwa na kifala ni BRICS. Mwanajumuia mwenzao amebananishwa wao wapo tu kama vile hawajui kinachoendelea. Hata matamko tu wameshindwa. Russia alitumia nguvu kubwa kumlinda Asad wa Syria.. anashindwa nini kumsaidia Ayatollah na Iran wasipate kichapo toka kwa Israel na Marekani? Huu mzozo ndio umenifanya niamini unafiki wa west.
Kwa hali ilivyo kwa sasa. Nchi yenye nyuklia ndio nchi zipo salama mbele ya Marekani na Mashetani wa ulaya.
Nakumbuka kipindi nipo form 4 mwalimu mmoja alisema wazungu wa ulaya magharibi wanajua ushilikiano pamoja na USA.
Afu kingine brics ni kumuia iliyojengwa na watu wenye asili tofauti tofauti mpk tamaduni kuliko NATO na washilika wake kwa asilikia kubwa.

Kinachotokea kule ni noma sana.

Ila iran anatakiwa kupiga maeneo ambayo itasaidia kuwazui Israel wasifanye mashambukizi iran.
Yani kulipigia jeshi likiwa kule kule Israel.
Badala yake wanapiga apartment za raia office za serikali , masoko. Pamoja hospital, shule kitu ambacho haileti madhara jeshini mwa Israel
 
Eli Bin, head of the Magen David Adom ambulance service, says a floor at Soroka Hospital that was hit this morning was evacuated of patients only yesterday amid the war.

“Many lives were saved,” Bin says.
 
Kumsaidiaje huko kwa hasara Iran inayopata. Nuclear facillites zilizojengwa kwa miaka mingi na kwa gharama kubwa zinaharibiwa useme anamsaidia? Vinu vya kuzalishia mafuta vinapigwa vinaharibiwa wao hawaoni? Au mpaka ifikie kuwa kama gaza au Aleppo ndio aingie. USA na west na NATO wanamsaidia Ukraine tangu kombora la kwanza lilipopigwa pale kiev. Na hawafanyi siri. Wanatangaza kabisa na aina ya msaada anaotoa. Hata askari mamluki wanaopigana upande wa ukraine wao ndio wanawalipa. Kubali kataa. BRICS ni kwa ajili ya issue za uchumi sio kwenye issue za ulinzi na usalama.
Ya brics ni uchumi ila sio jeshi.

Iran inatakiwa halenge maeneo ya jeshi ili kuziofisha jeshi la Israel ili kusimamisha ushetani wao.

Sasa sijajua shida Iko wapi maana Tangu mwanzoni wanapiga public facilities kitu ambacho hakuna impact jeshini.

Vinu vya vyukria vya iran vilikuwa chini ya ardhi ila wazayuni wavilenga na baker booster.
 
Nakumbuka kipindi nipo form 4 mwalimu mmoja alisema wazungu wa ulaya magharibi wanajua ushilikiano pamoja na USA.
Afu kingine brics ni kumuia iliyojengwa na watu wenye asili tofauti tofauti mpk tamaduni kuliko NATO na washilika wake kwa asilikia kubwa.

Kinachotokea kule ni noma sana.

Ila iran anatakiwa kupiga maeneo ambayo itasaidia kuwazui Israel wasifanye mashambukizi iran.
Yani kulipigia jeshi likiwa kule kule Israel.
Badala yake wanapiga apartment za raia office za serikali , masoko. Pamoja hospital, shule kitu ambacho haileti madhara jeshini mwa Israel
Hazipigwi apartments za raia, zinapigwa sehemu muhimu. Labda uwe haufuatilii mapigano yao yanayoendelea.
 
Wanalia nini? wenyewe si wanapiga Gaza hadi hospital
Ayatollah anawaonjesha dozi waliyozoea kuitoa kwa wagonjwa wa Gaza.
Mbona kama tumepigwa sana leo.
Haya wale wasemao Israel wanaficha ukweli leo mbona kila kitu kimeonekana?
Videos anaruhusu zitoke ni zile ambazo anaamini dunia ikiona itamuonea huruma kwamba anaonewa.

Anachokifanya Zayuni uswahilini tunakiita JANJA YA NYANI.
 
Back
Top Bottom