mjeuri zaidi
Member
- Apr 11, 2021
- 91
- 77
Vipi mkuu Iran bado ni mhuni tu?Iran nae muhuni tu, kelele nyingi tu kumbe hakuna kitu
Vipi mkuu Iran bado ni mhuni tu?Iran nae muhuni tu, kelele nyingi tu kumbe hakuna kitu
Ana kipi kipya,mbona usiku wa leo umepita bila kufanya lolote?Vipi mkuu Iran bado ni mhuni tu?
We upo nimekupita apo mwembe togwa unajuaje ya baadaye umewai ona wapi Hypersonic missile FATTAH- 1+11 Hatari mazee !!Ngoja tusubiri but nahisi marekani wataishambulia Iran
Ndiomana wamefukuza ata Media zao pro USA !!Mossad wanakuambia intercepted..
Endeleeni kujifariji tu lakini Iran safari hii kapatikana!!!!Kaka acha kabisa nimetoka tiktok kule nimeona msululu wa vimondo kutoka iran vikitua israel bila kupingwa hadi huruma, nadhan kipondo cha leo nikikubwa zaid toka aanze kushambulia...
Ataitoa wapi? Hawa watu wanaishi kwa uongo uongo tu!!!Tumeni video sasa humu kaka.
Mbona habari zako ni izo izo mkuu watu tupo macho japo kupata Habari mpya mwanzo umeanza vizuri lkn sasa imekuaje mkuu !!!Jeshi la Israel limetangaza kuanza mashambulizi muda sio mrefu ndani ya Tehran
Uongo mtupu hata ving’ora havisikiki hiyo video ni ya MICHONGO kama zile walizozitoa kwenye The Promise-2
Mama m5 tangu kaikwanyua ile Bodi ya wahuni mm sina deni kwamama,,Hilo la Mama Samia nimelisikia juzi eti kaleta maendeleo kuliko marais wote waliopita tangu Nyerere,yaani mahaba yakizidi na akili inapungua.
Uongo mtupu hata ving’ora havisikiki hiyo video ni ya MICHONGO kama zile walizozitoa kwenye The Promise-2
Video hizo nyingi ni za Mchongo hazina ukweli zimetengenezwa ili kuifichia aibu Iran hata uongo kwenye vita hausaidii chochote maana majibu hutokea kwenye mstari wa mbele(Frontline)Mbona video zinazotumwa zinaonesha yanapenya kaka?
Ndio ujue Israel imepokea kiponda cha mwana ukome nawao ndio wanataka kulipiza kikoozi akifichiki Netanyahu anasakwa yeye sasa!!!Ni either Iran atashusha kitu kizito au Iran atashushiwa kitu kizito
Serikali ya Israel imewapeleka mawaziri wake kwenye bunkers.
Meanwhile, jeshi la Israel limetoa onyo mtu asilale ndani ya Tehran usiku huu.
Huenda wote wanapigana mikwara, tusubiri
Iran anatuangusha sana watetezi wake aiseee
Unazingua 😃😃😃😃Simu za wakazi Israel zipo hacked, wanatumiwa ujumbe.. "umejichimbia kaburi lako mwenyewe"
https://pbs.twimg.com/media/Gtv0qdCWwAACgwW?format=jpg&name=small
WEWE UNASHABIKIA WARABU WAFE NA ISRAEL ANAVYOUA WATOTO ,WANAWAKE NA WAZEE KULE GAZA UNAINJOY SASA KWA TAARIFA YAKO ISRAEL WATAKUFA KAMA NZIGE TUONE HUO UDINI NA CHUKI ZAKO NA ROHO MBAYA VITAKUFIKISHA WAPIMkuu upo buza muda huu unajuaje kama missile za iran yanakua intercepted 😀,tuache ujuaji wabongo,israel mpaka sasa hawajajua wamepata athari kiasi mtu wa buza ushajua 😀
Tumia akili ...urussi anaisaidia Iran kabla hata ya mzozo wa Ukraine...tatizo lenu wapumbavu mnadhani kusaidia n8 vile mnavyo taka nyinyi ...umesikia Iran ikilalamika wapi kuwa urussi kajitenga ....makombora ya iran yanatumia hadi satellite za urusi ...wao ndiyo wanajua wanashirikiana kivipi ....nimeona wapumbavu wengi JF wanalalamika ovyo bila ya kutumia akili ....******** Russia na Putin kama hawajui kinachoendelea hapo mashariki ya kati. Kinachoendelea huko Iran ni ujumbe kwa russia. Kwamba hata yeye ni swala la muda tu. Kitamkuta kilichokuta mshirika wake wa karibu iran. Israel imezipiga na kuzichakaza gaza, Lebanon kule beirut, Sanaa pale Yemen. Sasa Teheran inaenda kuwa gaza mpya. Jumuiya za kimataifa haswa zile nchi kubwa zenye uchumi zinamuunga mkono israel kwa ushetani wanaofanya. Russia imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani uvamizi na mashambulio yanayoendelea kuvurumishwa kwenye miji ya iran.
Russia kaingia kwenye mzozo na Ukrane ambaye kwa % nyingi ni ndugu amekumbana na vikwazo vikali ambavyo hakuna nchi iliyowahi kuwekewa tangu kuumbwa kwa hii dunia. Mpaka FIFA, na UEFA na wale wanaoanda mashindano ya Olyimpiki nao wameiwekea vikwazo vya michezo Russia.
Hivi kazi ya umoja wa maifa UN ni nini? Yaani Israel inaruhusiwa kufanya ushetani na dunia nzima inaangalia bila kuchukuwa hatua ya kuzuia!!
Kama kuna jumuiya ambaya ni ya kimbwa na kifala ni BRICS. Mwanajumuia mwenzao amebananishwa wao wapo tu kama vile hawajui kinachoendelea. Hata matamko tu wameshindwa. Russia alitumia nguvu kubwa kumlinda Asad wa Syria.. anashindwa nini kumsaidia Ayatollah na Iran wasipate kichapo toka kwa Israel na Marekani? Huu mzozo ndio umenifanya niamini unafiki wa west.
Kwa hali ilivyo kwa sasa. Nchi yenye nyuklia ndio nchi zipo salama mbele ya Marekani na Mashetani wa ulaya.
Pole sana kwa kuumia mimi Napenda ku kuuliza je wewe hujui kwa nini Gaza imechakazwa? Je unajua nini Hamas walifanya Oct 07,2023? Je hujui kwa nini Hezbollah Wamechakazwa huko Lebanon.? Je hujui kwa nini Houth wamechakazwa huko Yemen? Kama yote hayo huyajui basi Kaa kwa kutulia ulizia upate uhakika uache kulalama ovyo!!!Israel imezipiga na kuzichakaza gaza, Lebanon kule beirut, Sanaa pale Yemen. Sasa Teheran inaenda kuwa gaza mpya. Jumuiya za kimataifa haswa zile nchi kubwa zenye uchumi zinamuunga mkono israel kwa ushetani wanaofanya. Russia imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani uvamizi na mashambulio yanayoendelea kuvurumishwa kwenye miji ya iran.