SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huu mzigo wanasema umeenda nje ya Earth's atmosphere, ndege za kuindercept za US na UK wanalitafuta, na kulivizia njiani kama wataliona.

Media za Israel wanaogopa wanasema hiyo itakuwa ni ICBM ambayo Iran Wenda wamepewa kutoka China au Russia. Wao wanaona ni KITU kipya,

Iran inaachia kimoja lakini kizito
Pray for iran
 
Serikali ya Iran imewaonya wananchi wote wanaopata hizi message kutofungua hiyo link.
Message wanazotumiwa wananchi muda huu ni hizi
20250618_215634.jpg
 
Kwa Iran angalau imebalance mkuu.
Ila Israel aaah imezidi.
Raia wa Iran kinachowaumiza wao ni economic sanctions tu.
Ndio maana hata uchaguzi wa kumchagua mbadala wa Marehemu Raesi Masoud alishinda kwasababu aliahidi kutoa vikwazo vya kiuchumi na kuirudisha ushawishi wa kisiasa na kibiashara duniani.
Wakampa kura,wao wenyewe raia walisema tunacholilia sisi ni kuondoka vikwazo vya kiuchumi,yeyote atakayeahidi hilo tunamchagua.

Ila kwa Israel ni tofauti kaka,kabla ya Oktoba 7 Kuna raia wa Israel waliwekeza Gaza kibiashara wengine hadi mitaji ya $ 10 millions.
Vita ilipoanza pesa zikateketea.
Israel imekua nchi ambayo haina amani ya kweli.
Kila mwaka kukimbizana na air sirens.
Hiki kitu Israel kinawachukiza.
Walichukizwa zaidi pale serikali ilipotaka kuwalazimisha Jews orthodox waingizwe jeshini,pale ndio walitibua kabisa hali ya hewa.
Hata buko nahisi imebalance sababu pia wanaona Netanyahu anapambana na kesho yao maana kumbuka Iran aliwahi kutishia kuwafuta kabisa, hivyo bado kuna wengi watakua upande wa Netanyahu
 
20250618_220331.jpg

New details:

Iranian Chief of Staff Ali Shadamani survived the bombs that fell on the secret headquarters near Tehran on Tuesday.

Dozens of Revolutionary Guard operatives were killed, and the senior general fled.

The Intelligence Service tracked the Iranian general, who arrived at another headquarters, and hours later the Air Force attacked the location.

Shadamani was killed along with senior Revolutionary Guard commanders
 
Habari za kijasusi zasema mataifa mawili makubwa yapo kazini kimyakimya, taifa moja laongeza kuni na limetuma pipa nne zilojaa kuni na viberiti na taifa jingine likitumia "Special forces" lasaidia kuweka ukungu kwenye eneo zima ili kuchanganya macho.

Pia lipo taifa jingine lililopo jirani na Iran ambalo nao kwa siri limesaidia kutoa msaada wa maji, biskuti na pilau nyama kwa Iran.

Mataifa kadhaa jirani yameanza kujitambua.

Na baada ya mzee Khomeini kuongea leo Marekani nao wameondoa meli ya kivita ilokuwa karibu na shabaha za Iran na kuisogeza upande wa chini kwenye eneo la ghuba ya Oman kuelekea ghuba ya uajemi.
 
Hata buko nahisi imebalance sababu pia wanaona Netanyahu anapambana na kesho yao maana kumbuka Iran aliwahi kutishia kuwafuta kabisa, hivyo bado kuna wengi watakua upande wa Netanyahu
Hapana mkuu kwa Israel haija balance.
Asilimia kubwa wanalalamika Netanyahu anawaingiza kwenye vita za mara kwa mara zinawakosti.
Kipindi cha vita ya Hamas kaka ingekua unafuatilia ungeona jinsi wanavyolalamika.
1.2 Israelites wamekimbia nchi since October 2023 na haijulikani kama watarudi.
Ndio maana hata hawa wanaotaka kukimbia wamewazuia kuondoka wanajua madhara yake kaka .
 
20250618_221140.jpg

A graph by Aryeh Eisenman showing the quantities of Iranian missiles launched in each barrage, over time.

This can certainly explain the decision on the easing of restrictions approved by the Home Front Command starting at 18:00.

The Iranian missile threat is steadily decreasing as time progresses. The elimination of the launchers is achieving results.
 
View attachment 3375345

Launchers zipo mkuu.
Iran huwenda amebadilisha strategies tu.
 
Back
Top Bottom