SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Imekua intercepted wapi? Leta source, ile uliyoweka mwanzo sio interception ilikua ndio inaruka, kuna video kabisa zinaonesha ikiruka.

Kombora limeenda juu zaidi, taarifa zilizopo linasakwa, halijulikani linaenda wapi ama linaenda kupiga nini,
Hilo kombora wengine wanasema ni satellite killer...
Lakini hata mi sijaelewa huo mzigo upo sehemu gani, maana interception hawawezi..
Tuendelee kusubiri..
 
BREAKING: US President Trump announced a meeting on the Iran-Israel situation is scheduled within the hour.He said Iran has expressed interest in coming to the White House and added, “I may do that.”On the possibility of regime change in Tehran, Trump remarked, “Anything can happen,” while confirming he has not yet made a final decision regarding U.S. action on Iran.Trump noted he has “ideas” on how to respond and cautioned that “things change quickly and can go from one extreme to the other” in the ongoing Iran-Israel conflict.

Kulikoni tena mbona Trump anaomba maji... Nilisema hapa Trump yeye ndiye anataka mazungumzo, kwa aibu anajifanya Iran imeomba mazungumzo..

Huko Qatar ilipo kambi kubwa kabisa ya US mashariki ya kati yote, imeoekana US wakihamisha vifaa vyao..
 
Gtv-dv8XAAAowy5
 
Kaka hiyo ballistic imeenda nje ya dunia. Okirudi itakuwa na force kubwa mno. Hakuna cha THAAD wala nini. Inakuja kuiangamiza Israel. Na imeelekezwa kwenye mahandaki ya wayahudi. Ikishuka inauwezo wa kwenda 300km chini.

Tuombe uzima tu Netanyahu asiwepo eneo la tukio
mkuu upo serious ama?
 
Huyu ndo Trump mzee wa kubadilika kila dakika.mikwala kama yote
⚡️🤡⚡️He also stated that Iran would be weeks away from possessing nuclear weapons.
The U.S. president said he will hold a "meeting on Iran and Israel" within the hour;

Trump does not believe that the destruction of the Fordow uranium enrichment center is a mandatory condition for the Iran deal;

He noted that the door to negotiations with Iran is still open, although concluding an Iran nuclear deal is now "more difficult than before."

This afternoon he said other words is such a clown⚡️🤡⚡️
 
JUST IN: Reports Iranian missile entered Earth's outer atmosphere with characteristics similar to intercontinental ballistic missiles This missile closely resembles the Russian Oreshnik missile.
Usifananishe Oreshnik na huo ushuzi pia Oreshnik sio ICBM ni just intermediate range hypersonic missiles ila shughuli yake ni zaidi ya kigodoro
 
Back
Top Bottom