SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kinachoendele Iran muda huu ni hiki...
GtwGuD8WoAAT8l6
Naomba link nicheck mkuu, mm hufatilia habari kila sehemu. Naomba link nijue ukweli kilichopo usiku huko Iran
 
Hawa Mossad hawa sio watu wa kuwaamini propaganda nyingi sana.
Mkuu nadhani hujaelewa hii habari, hizo chants sio kwamba mji mzima umelipuka bali ni za raia ambao wapo tu eneo fulani na probably sio mamia wala maelfu

Ni Kama Israel wangekua hawajabanwa sana basi hata wao ungeona baadhi yao wakiimba hawataki vita au hawamtaki Netanyahu
 
Kaka USA kwa sasa anapumulia mipira kila nchi inajua hilo. Hawezi kufanya kosa alilolifanya Afghanstan tena. USA apigane vita vya Israel na Iran kwa faida ya nani?
Sawa mkuu, lakini nakushauri kwenye mambo mengi usiweke neno haiwezekani maana kuna mambo yalionekana yasingewezekana lakini hatimaye yalifanyika
Wiki chache nyuma ungeambiwa Israel itaishambulia Iran basi naamini ungeweza kukataa kuwa haiwezekani. Tuwe na subra, siku vhavt tu tutajua
 
Huyu Trump kadata aisee.
Mara aseme hivi mara aseme vile.
Hii inaonesha kuwa upande wa Israel kumezidiwa.
When a country hesitates between military action and diplomatic pressure, it often signals internal divisions at the top, for example; the Pentagon may push for a strong response while the White House fears political or economic fallout.

Trump’s “maybe I will” remark reflects a political strategy to avoid direct accountability, leaving room to shift his stance depending on how events unfold. At the same time, there’s growing pressure from the American public, many of whom are weary of prolonged wars like those in Iraq and Afghanistan.

Altogether, this shows that the U.S. is not fully committed to direct involvement and is instead waiting for a clearer direction. As a result, Israel may find itself fighting alone unless the U.S. position shifts soon.
 
Sawa mkuu, lakini nakushauri kwenye mambo mengi usiweke neno haiwezekani maana kuna mambo yalionekana yasingewezekana lakini hatimaye yalifanyika
Wiki chache nyuma ungeambiwa Israel itaishambulia Iran basi naamini ungeweza kukataa kuwa haiwezekani. Tuwe na subra, siku vhavt tu tutajua
USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.

Huku Pakistan na India. Ulaya nao wanamdindia. Akitaka kupigana vita vyote hivyo nchi yake itarudi nyuma sana kiuchumi.

Kaka akiingia vita ya Israel na Iran taya atakuwa ameingia mtego wa China. China itamuacha mbali sana ndani ya mwaka mmoja na USA itakuwa HIstoria.
 
When a country hesitates between military action and diplomatic pressure, it often signals internal divisions at the top, for example; the Pentagon may push for a strong response while the White House fears political or economic fallout.

Trump’s “maybe I will” remark reflects a political strategy to avoid direct accountability, leaving room to shift his stance depending on how events unfold. At the same time, there’s growing pressure from the American public, many of whom are weary of prolonged wars like those in Iraq and Afghanistan.

Altogether, this shows that the U.S. is not fully committed to direct involvement and is instead waiting for a clearer direction. As a result, Israel may find itself fighting alone unless the U.S. position shifts soon.
You said the truth,and to this situation Israel it can find it self been cornered.
 
USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.

Huku Pakistan na India. Ulaya nao wanamdindia. Akitaka kupigana vita vyote hivyo nchi yake itarudi nyuma sana kiuchumi.

Kaka akiingia vita ya Israel na Iran taya atakuwa ameingia mtego wa China. China itamuacha mbali sana ndani ya mwaka mmoja na USA itakuwa HIstoria.
South Korea ameanza kuwa upande wa Russia kivipi mkuu?
 
Missiles mbili kutoka missile 300,na hazijaleta madhara yeyote
Mosi, ulisema haturushi tena missiles,tumerusha
Pili,kula vyuma hivyo

Radio ya jeshi israel imesema missiles zilikua nane, naona mnajichanganya tu kupunguza idadi,kubalianeni kwanza kabla hamjatoka nje
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-18-23-16-58-570.jpg
    Screenshot_2025-06-18-23-16-58-570.jpg
    316.1 KB · Views: 17
  • 2025_06_18_23_21_41.mp4
    17.6 MB
  • Screenshot_2025-06-18-23-10-30-428.jpg
    Screenshot_2025-06-18-23-10-30-428.jpg
    264.6 KB · Views: 17
USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.

Huku Pakistan na India. Ulaya nao wanamdindia. Akitaka kupigana vita vyote hivyo nchi yake itarudi nyuma sana kiuchumi.

Kaka akiingia vita ya Israel na Iran taya atakuwa ameingia mtego wa China. China itamuacha mbali sana ndani ya mwaka mmoja na USA itakuwa HIstoria.
well said mkuu..
 
Back
Top Bottom