SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran lazima tu apigwe hana ujanja kamdomo kama po za kutisha kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!!!
 
Attachments

  • IMG_3366.jpeg
    IMG_3366.jpeg
    347.7 KB · Views: 19
USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.

Huku Pakistan na India. Ulaya nao wanamdindia. Akitaka kupigana vita vyote hivyo nchi yake itarudi nyuma sana kiuchumi.

Kaka akiingia vita ya Israel na Iran taya atakuwa ameingia mtego wa China. China itamuacha mbali sana ndani ya mwaka mmoja na USA itakuwa HIstoria.
Mkuu mimi hoja yangu ilikua pale uliposema hawezi kuingia hiyo vita, nimekutaadhaeisha tu kuwa anaweza kuingia sababu yapo mambo ambayp yalionekana hayawezekani lakini yalifanyika

Hayo yote unayossma ni sawa lakini usikatae moja kwa moja kuwa hawawezi kuingia Iran
 
Mazayuni wabaya sana. Washafanya Tehrani kama barazani kwao. Wanagonga kombora mwanzo mwisho. Air defence system za Irani ziko wapi? Kwa ule uwezo tuliokuwa tunaambiwa wanao ilitakiwa wawe wameshashambulia vituo vya kijeshi na kupunguza uwezo wa kijesho wa mazayuni.
 
Hawezi kaka. Hiyo ni mikwara mbuzi tu. Iran yupo na nuclear na nyuma ya Iran wanajua yupo Pakistan na China. Kuvamia Iran ni machafuko Duniani kote. Washia wote dunia na ndania ya USA kutakuwa na ugaidi wa kufa mtu. Hawezi USA kuingia kwenye risk hiyo.
 
Mazayuni wabaya sana. Washafanya Tehrani kama barazani kwao. Wanagonga kombora mwanzo mwisho. Air defence system za Irani ziko wapi? Kwa ule uwezo tuliokuwa tunaambiwa wanao ilitakiwa wawe wameshashambulia vituo vya kijeshi na kupunguza uwezo wa kijesho wa mazayuni.
Aliepo Tehran ni US.
 
USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.

Huku Pakistan na India. Ulaya nao wanamdindia. Akitaka kupigana vita vyote hivyo nchi yake itarudi nyuma sana kiuchumi.

Kaka akiingia vita ya Israel na Iran taya atakuwa ameingia mtego wa China. China itamuacha mbali sana ndani ya mwaka mmoja na USA itakuwa HIstoria.
Pakistan ipi iliyomdindia?
 
Attachments

  • Screenshot_20250618-093503.png
    Screenshot_20250618-093503.png
    347.1 KB · Views: 26
Back
Top Bottom