SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hawezi kaka. Hiyo ni mikwara mbuzi tu. Iran yupo na nuclear na nyuma ya Iran wanajua yupo Pakistan na China. Kuvamia Iran ni machafuko Duniani kote. Washia wote dunia na ndania ya USA kutakuwa na ugaidi wa kufa mtu. Hawezi USA kuingia kwenye risk hiyo.
Huko serious wewe!!
 
Gazeti la wall Street Journal linaripoti kuwa Trump ameidhinisha marekani kuishambulia Iran, Ila anasubiri kuona kama Iran watasurrender kwanza.
20250619_002023.jpg
 
Kama kuna muirani anashangilia nguvu zao za kivita zikitikiswa na kuharibiwa huyo atakuwa mpumbavu wa mwisho. Irani leo akishindwa.. Hataweza kunyenyuka milele na kufikia alipokuwa amefika leo.

Super power wanataka wabaki wachache tu na waendelee kuwa wao hapa duniani.
 
Gazeti la wall Street Journal linaripoti kuwa Trump ameidhinisha marekani kuishambulia Iran, Ila anasubiri kuona kama Iran watasurrender kwanza.
View attachment 3375423
Huyu anahangaika tu, yeye ashambulie, ndio haya ya China kupandisha tariffs,mikwara miiiingi, baadae akaonekana mjinga..
 
Iran wana tabia mbaya sana, yaani ikifika muda wa kulala tu basi hawataki wateule walale kwa amani.. nasikia kuna kifurushi cha songesha wamewatumia Israel muda huu...

BREAKING: NEW MISSILE LAUNCH TOWARD ISRAEL FROM IRAN
Kaka acha kabisa nimetoka tiktok kule nimeona msululu wa vimondo kutoka iran vikitua israel bila kupingwa hadi huruma, nadhan kipondo cha leo nikikubwa zaid toka aanze kushambulia...
 
Back
Top Bottom